Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg


1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Simba na chui mkubwa nani?
 
tiger ndio mkubwa kuliko simba dume!kuongezea
pride inaweza kufika hadi simba 40 kama ile ipo simba copjes serengeti.

simba speed ni km50 hd 70 per hour ingawa hawezi kukimbia lisaa!
simba ni stalk ambusher
Nat Go Wild wanasema fisi ndiye mnyama pekes mwenye stamina ya kukimbia mda mrefu Bila kuchoka.

Anakimbia maximum 35-40 km/hr Ila anauwezo wa kidumu na hiyo speed kwa dakika 480 (masaa 4)
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Wanaishia kumwona simba kwenye movie ndo watabisha kuwa simba hamwogopi binadamu lakini ukweli ni kuwa Simba anamwogopa binadamu kuliko unavyoweza fikiria!
 
Asante kwa kutujuza.

Mmasai mmoja ,aliwah nambia Simba alipewa nguvu fulan ivi yakipekeee ,,ndio nguvu ya kiroho ambayo popote anapokua utaona wanyama wakishamuona wanaanza kuhangaika sanaa..

Akasema ,,Simba anakitu fulan ivi ,kwamba huwa anapotaka kufa anakitapika kinaingia Aridhini .

Inavyosemekana ,,Iko kitu ukikipata basi utaogopwa sana na watu watakua wanakubaliana naww kwakila unachokisema.

Akadai kua ,,wao ndio huwa wanapotuma MTU kuua Simba ,anahakikisha anakuja nahako kadude ,,ndio maana wamasai wanaogopwa nasimba balaa.
 
MLETA MADA NAONA UMEPEPESA SANA,,,,POLE SANA,,,,,

SIMBA DUME DAIMA HAWEZI WASAU WATOTO WAKE MILELE,KAMA AKIPOTEZANA NAO DAIMA SIKU WAKIKUTANA BASI HUFURAHIA SANA KWA PAMOJA,NA HATA IKITOKEA TATIZO BASI HUWASAIDIA.
MLETA MADA UNANUSA NUSA TU,,,,,,,,,,KUNA MENGI YANAYOHUSU SIMBA,
UKIKUTANA NA SIMBA USIMKIMBIE,,MFATE ANAKOTOKEA MKUTANE FACE TO FACE,NA AKIONA UNAMFATA DIRECT BASI ATAPATA WASWAS NA KUKIMBIA,ILA UKIMWONA NA UKATIMUA JUA NYUMA YAKO ANAKUFATA,
FEAR CAN CONTROL LION MIND,.....
UKITAKA MENGI NI CC NIKUPE VITU...
There's a helpful principle, "never turn your back to lion"
 
Kinachomfanya binadamu apambane au akimbie ni choice kati ya fight or flight response. inteligence (IQ) ya binadamu hupima kwa experience kati ya uwezo wa simba na nguvu/silaha aliyonayo binadamu husika, hivyo uamuzi wa kupambana au kukimbia huamuliwa haraka.

Katika hunting skills, binadamu anasimama number one juu ya wanyama wote wawindao.
 
simba kumuogopa binadamu!! mkuu hili tango poli hili kaa kwenye 18 zake uone kama ana ogopa au lah!
ukiwa hujasoma tabia tabia za wanyama kwa hli utaona tango pori.kikubwa hapa labda ungejishusha ukauliza tuu ni kwann hua anaogopa binadam!?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom