Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa duh..
Jamaa amechomekea au katoa stori vijiweni Simba😛anthera Leo😀ume mkubwa anakuwa na kati ya 280 -300Kgs,Jike kati ya 150-180Kgs wakati Dume la chui linakaribiana kidogo na uzito wa simba jike
 
Mkuu tumwagie masifa ya huyu mnyama siunajua wengine hata fisi hatujawahi kumuona.
Jitahidi bwn, tuna mbuga za kila aina kila kona km tatizo ni gharama naweza kukusaidia nafanya kazi ktk sekta za wildlife naweza kukufanya ndugu ukinitembelea unaweza kufaidi vitu hivi najua siku ukitoka huku siku nyingine utatuletea wageni watakaochagia tozo mbalimbali wewe ukiwa kama balozi wao na mwisho wa siku hao uliowaleta nao kuna siku watawaleta wengine hii chain ndio ufanya ongezeko la utalii wa ndani na nje kuongezeka kwa njia hii ya kupashana habari.Km upo interested nipm uje uone hizo Carnivores za kutosha na wanyama wengine wangi walao nyasi,ndege na mazingira yao kwa ujumla
 
Cha kuongezea Mnyama pekee haliwi na Simba ni faru tu( tembo akikaa vibaya anaenda na maji) Simba akiwa na njaa anamfight Mnyama yyte yule duniani jpo sometimes anakula kipigo cha mbwa mwizi) Territory ya Simba haruhusiwi taka taka yoyote yule.
 
Kweny Simba kumuogopa binadamu hapo sio valid( Masai wana madawa na magame parks Wana vifaa) maan katika binadamu b7 sidhani kama wanafka binadamu million wasiomuogopa Simba. Halafu hatuwezi jiweka sisi wazee wa kuvizia kwa bunduki mishale mikuki kwa mbali moto n.k kwa watu wa battle la mwilini.[emoji1787][emoji1787]
 
Ila mwisho wao sio mzuri unasikitisha.
Wakizeeka na hawezi winda tena wanakufa na njaa.na hamna kifo kibaya kama cha njaa.
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Simba wa pori lipi anayemwogopa binadamu?
 
umetaja simba wote lakini wa Dar umemsahau mbona?

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
MLETA MADA NAONA UMEPEPESA SANA,,,,POLE SANA,,,,,

SIMBA DUME DAIMA HAWEZI WASAU WATOTO WAKE MILELE,KAMA AKIPOTEZANA NAO DAIMA SIKU WAKIKUTANA BASI HUFURAHIA SANA KWA PAMOJA,NA HATA IKITOKEA TATIZO BASI HUWASAIDIA.
MLETA MADA UNANUSA NUSA TU,,,,,,,,,,KUNA MENGI YANAYOHUSU SIMBA,
UKIKUTANA NA SIMBA USIMKIMBIE,,MFATE ANAKOTOKEA MKUTANE FACE TO FACE,NA AKIONA UNAMFATA DIRECT BASI ATAPATA WASWAS NA KUKIMBIA,ILA UKIMWONA NA UKATIMUA JUA NYUMA YAKO ANAKUFATA,
FEAR CAN CONTROL LION MIND,.....
UKITAKA MENGI NI CC NIKUPE VITU...
Umfate Simba umface?[emoji849][emoji849]

Are u serious?
 
Simba hawindi binaadam hata siku moja, akitingwa anatua uoga pembeni na kuvamia kama afanyavyo kwa wengine, ila ni last option maana anamjua.

Hii ni kwa wanyama wengi tu, wanamjua binaadam kama kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kuwazidi.

Kuna mtu huko juu ameandika kwamba ukikutana na simba nawewe, usionyeshe kuogopa mtizame usoni huku unamfuata.lazima ageuze.
Binadamu gani mwenye huo ujasiri sasa?[emoji848][emoji848]
 
Chui mkubwa kuliko simba anaitwa duma(cheater)

Na simba anamhofia zaidi mbwamwitu kuliko mwanadamu.
 
Chui mkubwa kuliko simba anaitwa duma(cheater)

Na simba anamhofia zaidi mbwamwitu kuliko mwanadamu.

duh,

1. ni cheetah sio cheater (au labda una maana tofauti).
2. cheetah (duma) sio chui.
3. cheetah (duma) ni mdogo kuliko chui (leopard) kwa uzito (magnitude) japo ni mrefu kuanzia kichwani mpka mkiani (by dimension)

list iko hivi (by magnitude (weight), neglect dimensions)! yaani kwa uzito na puuza urefu x upana

1. tiger
2. simba/lion
3. jaguar
4. puma/ cougar
5. chui/leopard
6. duma/cheetah, nk..

hapa kwa ufupi linganisha yowe utakalopiga ukiingia kwenye 18 za hawa walimbwende (yowe dogo kwenda kubwa (6 kuelekea 1))

mwisho, mbwa mwitu au fisi (awe mmoja au kundi) hawajawahi kurudi njia ileile waliyokuja nayo wakinusa harufu ya simba dume hata mmoja tu.. ni kila mmoja na njia yake huku wanalia na hakuna anayegeuka nyuma. Japo kwa simba jike wanawazingua mara nyingi.
 
Hii ni kweli kabisa jamii nyingi ya Carnivores hawalani kabisa labda ni fisi pekee ambae ana uwezo wa kula hata watoto wake hasa pale anakuona njaa sasa inahatarisha maisha yake ufyeka mtoto mmoja mmoja baada ya mwingine mpk atakapopata mbadala wa kitoweo kingine.Simba anaweza kuua watoto madume wa pride nyingine kwa kuhofia mapinduzi huko mbeleni lakini hawezi kula mizoga hiyo.Na pia akikutana na watoto wengine wa cats wengine km hawana ulinzi atawanyonga lkn hatowala

swali la msingi hapa, kwenye ulinzi wa watoto..

je, kuna paka gani anaweza kulinda mtt/watoto wake dhibi ya huyu bin laden simba ikitokea wamekutana hapo kwa hapo.!? mama mtt akijifanya anajua hapa anaanza yeye kwenda ahela.
 
Mkuu, hebu fafanua point ya tisa hapo sijakupata vizuri
 
Back
Top Bottom