Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

MLETA MADA NAONA UMEPEPESA SANA,,,,POLE SANA,,,,,

SIMBA DUME DAIMA HAWEZI WASAU WATOTO WAKE MILELE,KAMA AKIPOTEZANA NAO DAIMA SIKU WAKIKUTANA BASI HUFURAHIA SANA KWA PAMOJA,NA HATA IKITOKEA TATIZO BASI HUWASAIDIA.
MLETA MADA UNANUSA NUSA TU,,,,,,,,,,KUNA MENGI YANAYOHUSU SIMBA,
UKIKUTANA NA SIMBA USIMKIMBIE,,MFATE ANAKOTOKEA MKUTANE FACE TO FACE,NA AKIONA UNAMFATA DIRECT BASI ATAPATA WASWAS NA KUKIMBIA,ILA UKIMWONA NA UKATIMUA JUA NYUMA YAKO ANAKUFATA,
FEAR CAN CONTROL LION MIND,.....
UKITAKA MENGI NI CC NIKUPE VITU...
Mkuu tumwagie masifa ya huyu mnyama siunajua wengine hata fisi hatujawahi kumuona.
 
Hapo namba Kumi mmeshindwa kumuelewa yan Simba kwa binadam hua makin akiwa anamuwinda tofauti Na swala ambapo hukimbiza bila akili ila2 anapokutana Na binadam inabd atumie akili ya ziada
 
Juz nangalia Ile Geowild bac fisi 7 wamemtaiti simba wee simba kakimbia kapanda juu ya mti....fisi wakabeba nyama wakakimbia...kumbe simba nae akitaitiwa anakmbia...kuna siku napo simba kakutana na Nyoka yule swira anayerusha sumu aina ya black mamba...

Swira siyo black mamba kiongozi, hapo umeongelea pengine kabisa ungesema
cobra


 
huyo simba atakuwa wa uwanja wataifa awe mdogo kuliko chuihalafu kipimo hamna tunataka kipimo cha kimo na urefu tuone kama kweli ni mdogo kuliko chui nina mashaka atakuwa wa uwanja taifa
 
Mkuu hapo namba moja ndio unamaanisha nini, hebu pia fafanua namba 3, 4 na 9 nasikia kizunguzungu
 
Namba tatu umetuingiza chaka kwa Simba dume jibu ni hili hapa, Male lion is Lion and female lion is Liones, vinginevyo ungetumia kiswahili cha Call Me J tu tungekuelewa
 
Hapo namba Kumi mmeshindwa kumuelewa yan Simba kwa binadam hua makin akiwa anamuwinda tofauti Na swala ambapo hukimbiza bila akili ila2 anapokutana Na binadam inabd atumie akili ya ziada
Simba hawindi binaadam hata siku moja, akitingwa anatua uoga pembeni na kuvamia kama afanyavyo kwa wengine, ila ni last option maana anamjua.

Hii ni kwa wanyama wengi tu, wanamjua binaadam kama kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kuwazidi.

Kuna mtu huko juu ameandika kwamba ukikutana na simba nawewe, usionyeshe kuogopa mtizame usoni huku unamfuata.lazima ageuze.
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg


1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Hiyo namba 1 umekosea,simba ni wa pili kwa ukubwa akimfatia tiger na sio chui,cjui tiger kwa kiswahili anaitwaje.
 
Back
Top Bottom