Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,489
- 70,276
Sad storyJuz nangalia Ile Geowild bac fisi 7 wamemtaiti simba wee simba kakimbia kapanda juu ya mti....fisi wakabeba nyama wakakimbia...kumbe simba nae akitaitiwa anakmbia...kuna siku napo simba kakutana na Nyoka yule swira anayerusha sumu aina ya black mamba...ebhana simba dume hilo likaa mungurumia nyoka akatupa sumu simba kainama ...nyoka akarusha tena mmh simba kaona hapa pabaya kakimbia zake......lkn kuna day simba bhana wa 4 wakaenda makazi ya fisi...fisi hao wawil walkuwa na watoto wao walipoona simba kwa mbal wanakuja wakawafukia watoto wao kwenye mashimo yao juu wakafukoa fresh...daah nkashangaa mtoto anafukiwa chini na hafi.....simba wakaja wakanusha nusha wakafukua shimo la kwanza kweupe la pil wakakuta mtoto mmoja wakambeba wamuua....shimo jengne wakakuta wawil wakala....wale fisi mke na mume wakawa kwa mbal wanatazama watoto wao wanaliwa...dah wakatia huruma kwel hawana la kufanya