Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Unawezaje kumuua Mamba Kama huyo? Huyo utakuta Ana miaka Kama 70 Hivi Halafu unakuja kumuua kikatili hivyo
 
Inanikumbusha mafuriko ya mwaka. 1912 yalituachia mamba 7 uwanjani kwangu
 
Aise mkubwa kweli, huyu chakula chake ng'ombe mzima!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Let me explain to you young man
Unapoona mistari miwili inafuatia ya dots ujue ni muendelezo wa habari got it
Utashangaa sana
 
Huyo mamba afadhali wanemuua maana alishaanza tabia mbaya (kutamani binadamu)
Sio kama katamani armtakula nini sasa ili aweze kusurvive swala hakuna ,nyumbu hakuna ,msosi hakuna na alivyo mkubwa lazima msosi wale uwe heavy

Hana kosa
 
Umrudishe anapostahili ili siku nyingine arud avizie mtu amkamate amle si ndio unamjua mamba vzri wwe au unaongea kama umekatwa kichwa?
Hivi mamba anaweza kutoka ruaha hadi mwanza duh ,hata paka hawezi rudi
 
Nyie mnao mtetea huyu mamba pimbi na muharibifu angekamata wake/waume au watoto wenu sidhani kama mngekuja kumtetea hapa
Ndio maisha yao yalivyo na inayotaka waishi hivyo ,

Huwezi kumlaumu ,ndio maana mkiwaona karibu na makazi mamlaka husika iwarudishe sehemu stahili
 
Wamemuulia nini......?........
Mawe
Kwa habari niliyopata hivi punde :

Inasemekana Mamba ameuawa pembezoni mwa hoteli ya Tilapia jijini Mwanza leo mchana.

=====

Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.

8b56da22a9283cb6ac3f312dcf9bd0dc.jpg


7e33e2b4ad30a503ed2c18b9889f9a90.jpg


10c85ba24285dca6a0bb38f84fc63b66.jpg
 
Let me explain to you young man
Unapoona mistari miwili inafuatia ya dots ujue ni muendelezo wa habari got it
Utashangaa sana
Fucks you end to call me your young boy again *** you never act it again your mother fucker . Ask again yourself usifikiri sijui Ku analyse mental wewe. Unajiita sniper kwa upuuzi uliojaa bangi kichwani again fucks your comments
 
Back
Top Bottom