Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Kwa habari niliyopata hivi punde :

Inasemekana Mamba ameuawa pembezoni mwa hoteli ya Tilapia jijini Mwanza leo mchana.

=====

Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.

8b56da22a9283cb6ac3f312dcf9bd0dc.jpg

7e33e2b4ad30a503ed2c18b9889f9a90.jpg

10c85ba24285dca6a0bb38f84fc63b66.jpg
Hovyo kabisa, kumuua ndo ilikuwa solution??
 
Ulikosea sana kukatisha swahili course maana ingekusaidia hata ungeelewa post. Nadhan hujaelewa kuwa waliomuua ni askari wa wanyama pori kwa risasi. We ukadhan wamemkaba kabali... Sasa sijaona ujasiri wa wa mikoani hapo.na sisi huku town ukiona mamba ujue ni wa kufugwa... Sisi huku tunaua mademu kwa risasi zetu hizi...

Ingekua Dar wanaume wote wa Wangekimbia wakamuacha Mamba akifanya vurugu miji yote cc GuDume
Mshukuriwe wanaume wa mkoani
 
Sio kama katamani armtakula nini sasa ili aweze kusurvive swala hakuna ,nyumbu hakuna ,msosi hakuna na alivyo mkubwa lazima msosi wale uwe heavy

Hana kosa
Duh kwahio na wewe ulitaka aachiwe tu...kuna mdau kasema siku ingine akionekana hapo watamleta sebuleni kwako uangalie nae tv...🙂🙂
 
Mamba alikuwa anaelekea hotelini kuitisha press conference wakahisi anaenda kutoa kauli za uchochezi hatimaye wameua kwa kukusudia. Wawajibike, utendaji bora si kuua viumbe hai bali kuvirudisha mahali panapostahili. Shame on maliasili officers!! Poor them!!, roho za kuua kwa kutumia risasi zinawasumbua....yako wapi maarifa ya kurudisha wanyama mahali pao?? Yako wapi Leo??... Uko wapi utashi wa mafunzo waliyoyapata??... Je hawana vitendea kazi vya kuwasaidia kuweza kuwarudisha wanyama kwa usalama mahala pao???
Hotel imekosa mteja wao toka ziwani.

Tz Kwisha habari yao!!
 
Ukweli ni kwamba hao maliasili waliomwua wanatakiwa kufikiri mara ya pili. Kumuua hakuzuii wengine kuja Mwanza. Tena si ajabu ndio watafurika sasa. Huenda makao yao wamevamiwa na uvuvi haram hivyo wakaanza kutafuta mahali salama.
Zoezi ni kuwakamata na kuwarudisha walikotokea na kupatengenezea mazingara salama wafurahie kukaa huko. Jiulize swali, wadhani huyo mamba mkubwa hivyo ni wa umri gani?? Sasa kwa nini hujiulizi kuwa mpaka awe mkubwa hivyo, mbona hakuwahi kufika hapo Mwanza mjini?? Kuna sababu hivyo askari aliyemuua afunguliwe mashitaka
Mkuu huijui Mwanza, huyu mamba kaua watu zaid ya 20, na nlikuwa akija Mara kibao pembezon kwa ziwa hasa maeneo ya tilapia, Capri cabana, mswahili na butimba.
 
Fucks you end to call me your young boy again **** you never act it again your mother fucker . Ask again yourself usifikiri sijui Ku analyse mental wewe. Unajiita sniper kwa upuuzi uliojaa bangi kichwani again fucks your comments
Chokoraa unamjua tu
 
You can't even write a good English
What a plonker
Tatizo la kulala barabarani ulipokuwa mdogo
 
Chokoraa unamjua tu
Najiamini ndo maana Nina jina langu asili na kamwe siwezi kujiita majina ya ****** et sniper ?????? Msenge tu kama wasengwa wengine. Siwezi jisajili kwa id feki ya jina vuzi wewe. Unaiga majina unataka kuficha nn panya road mkubwa.
 
Najiamini ndo maana Nina jina langu asili na kamwe siwezi kujiita majina ya ****** et sniper ?????? ****** tu kama wasengwa wengine. Siwezi jisajili kwa id feki ya jina vuzi wewe. Unaiga majina unataka kuficha nn panya road mkubwa.
Tatizo la kulelewa na baba wa kambo ndio hilo
Endelea kutukana maana umezaliwa brothel
 
Kuna mijitu humu inakujaga kucomment tu bila kupitia threads ya mtoa post. Mtoa kasema wamewapigia maliasili ndo wakaja kumuua ambacho hauelewi ni kipi na hakusema raia ndo kamuua.
Mkuu umeelewesha vizuri lakini kwa pale wala haina haja ya kuwapigia maliasili kwa maana hapo pembeni ya hotel tilapia kuna pub ya kwao ambapo pia huwa zinapaki boti ndogo za kusafirisha watu kwenda kutalii kule kisiwani saa 8, na kwa jinsi ninavoona hilo ni eneo la pembezoni mwa hiyo pub ya maliasili, na pale maaskari wa maliasili huwa wapo muda wote wakiwa full loaded....... kwa hiyo inawezekana kabisa wakati msela anaibuka kuja kuchukua kitoweo ndo wakamtaim
 
You can't even write a good English
What a plonker
Tatizo la kulala barabarani ulipokuwa mdogo
Nyoko wewe what is your funker broken English vowed ??? Can't come again with your improper grammatical language matako ya babako
 
You can't even write a good English
What a plonker
Tatizo la kulala barabarani ulipokuwa mdogo
Nyoko wewe what is your funker broken English vowed ??? Can't come again with your improper grammatical language matako ya babako
 
Mkuu huijui Mwanza, huyu mamba kaua watu zaid ya 20, na nlikuwa akija Mara kibao pembezon kwa ziwa hasa maeneo ya tilapia, Capri cabana, mswahili na butimba.

Ninajua kuwa sijui Mwanza ila najua mamba na mazingira anayoishi na hatari zake. Swali ni Je, aliyemfuata mwingine ni nani? Ni huyo mamba au hao watu 20?? Je Mwanza ni hao hao 20 tu na wa mwisho ni huyo askari aliye muwahi na kumpiga risasi ndo wanaoishi Mwanza??
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kwa huyo mnyama. Mlienda kumsumbua kwenye nyumba yake. Anatokeza kuota jua baada ya mlo nyiye mnampiga risasi. Je ingelimkosa akamvizia huyo askari mngelisema mamba mbaya?? Kubalini kuwajibika. Hakuna sababu yeyote mnaweza kuitoa kuhalalisha kumuua.
 
Mkuu umeelewesha vizuri lakini kwa pale wala haina haja ya kuwapigia maliasili kwa maana hapo pembeni ya hotel tilapia kuna pub ya kwao ambapo pia huwa zinapaki boti ndogo za kusafirisha watu kwenda kutalii kule kisiwani saa 8, na kwa jinsi ninavoona hilo ni eneo la pembezoni mwa hiyo pub ya maliasili, na pale maaskari wa maliasili huwa wapo muda wote wakiwa full loaded....... kwa hiyo inawezekana kabisa wakati msela anaibuka kuja kuchukua kitoweo ndo wakamtaim
Good mie sipajii mza ila mtoa mada alisema maliasili walikuja OK safi sana wameact accordingly
 
Nyoko wewe what is your funker broken English vowed ??? Can't come again with your improper grammatical language matako ya babako

What a shame man!! Mijitusi mikubwa hivyo ya nini?? Kwani alikutukania mzazi hata wewe umtukane kihivyo?? Jamani, punguzeni stress, ka sivyo kuna siku mtu atafia juu ya key board kwa hasira
 
Yaani siasa hadi kwa mamba mla watu?

Alimla mama ako? ni aibu kuna mipumbavu inajisifu ni mitaalam ya maliasili na inatoka povu iongezwe mishahara wakati hata haitumii akili zao kusuluhisha mambo. Wangemkamata na kumrudisha huko mtoni au saanane

Hata kama anakula watu mamba hana akili kama wewe kisheti akiwa na njaa huwezi katiza mbele yake akakuacha ,Mungu kawaumba kutula sisi na wanyama wengine. Hiyo ndo nature yao .

Mwenye ushahidi wa mamba wasiokula watu wakikatiza mbele yake wanisaidie
 
What a shame man!! Mijitusi mikubwa hivyo ya nini?? Kwani alikutukania mzazi hata wewe umtukane kihivyo?? Jamani, punguzeni stress, ka sivyo kuna siku mtu atafia juu ya key board kwa hasira
Hahah mpuuzi anajua mie kihiyo panya road mkuuu huyo acha apambane na mitusi
 
Back
Top Bottom