General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,837
- 2,119
Hajamaanisha dawa kama ulivodhani, hiyo ni sumu mbaya sana, ujazo wa kifuniko cha chupa ya maji tu inatosha kuua zaidi ya watu 300, ndo maana wakati wa zoezi la kuteketeza mzoga wa mamba huwa kuna ulinzi mkali sana mkuuAfrikaaaaa shidddddaaaaaa sanaaa yani dawa awe na uwezo wa kuuwa kijiji kizima
Mi nlitegemea dawa imsaidie kutodhurika yeye au kupata mali nyingi,sie tunawaza UWEZO WA KUUA TU.
Kweli miafrika ndo tulivyo....