Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,234
- 55,481
Ushaanza kuniokota we 2004 ulikua unaangalia mpira?Hizi dharau bro, 2004 cool brize walikuwa wanna onyesha mpira, hope tulikuwa tuna li dishi likubwa.
viva arsenal 🔥
Ushaanza kuniokota we 2004 ulikua unaangalia mpira?Hizi dharau bro, 2004 cool brize walikuwa wanna onyesha mpira, hope tulikuwa tuna li dishi likubwa.
viva arsenal 🔥
Sio kivile, mieleka ndio ilikuwa top prioUshaanza kuniokota we 2004 ulikua unaangalia mpira?
Wataalamu wa mahusiano wanakwambia, kwa sasa kama umefika miaka 33 na bado haujaoa technically tayari umeshaikwepa talaka yako ya kwanzaKatika vitu sitaki pressure ni suala la kuoa
Mzee Juzi alinambia oa ukiwa tyr ndani yako na sio jamii....
Agemates walionizunguka wengi watoto wapo kwa bibi, wengine kwa dada wengine kwa mama zao wengine washaachana mbele ya wazazi
Yaan kila muda wanajuta
Kuoa ni muhimu nami nikaone kususiwa bure au mpaka ninunue maini ndo ntapewa cc min -me
Wewe nitakutafutia kulumbembe moja mguu wa shingo mguu wa roho!Usha nikosa mama, kwenye ghetto la msela hauingii kinyume nyume.
Nipe elimu mkuuWataalamu wa mahusiano wanakwambia, kwa sasa kama umefika miaka 33 na bado haujaoa technically tayari umeshaikwepa talaka yako kwanza
Nimekuelewq brother........Hapa ninachoona unaogopa kuoa kwasababu ya majanga yanayotokea kwenye ndoa za waliokuzunguka.
Dont fear bro Monetary doctor.
Maana Hata ukichelewa kuoa . Kama ni kupata majanga utapata tu. Na kama hautapata bas hautapata.
Kwahiyo kuchelewa hakufanyi usipate majanga .
Ni muhim kuoa mapema.
mwil ukiwa umechoka. Bas vijana wako wanakuwa wanajitegemea.
Mtaalamu wa huo mfereji ni ndege mtoto cc secretarybird 😂Kupewa nini sasa 😂
kuna kipande kinaitwa mfereji wa hormuz ndoani kipo hiko😂😂😂
Mungu nifundishe kunyamazaWewe nitakutafutia kulumbembe moja mguu wa shingo mguu wa roho!
Umekazwa 😅Mwambie aache kiherehere
Tuheshimiane bro 😂Umekazwa 😅
Bright ame kuharibu mno, haukuwa hivyo huko nyuma chelkengeTuheshimiane bro 😂
😂😂😂
Kuoa sio lzm mm nna 28yrs na sina mpango wa kuoaHapa ninachoona unaogopa kuoa kwasababu ya majanga yanayotokea kwenye ndoa za waliokuzunguka.
Dont fear bro Monetary doctor.
Maana Hata ukichelewa kuoa . Kama ni kupata majanga utapata tu. Na kama hautapata bas hautapata.
Kwahiyo kuchelewa hakufanyi usipate majanga .
Ni muhim kuoa mapema.
mwil ukiwa umechoka. Bas vijana wako wanakuwa wanajitegemea.
kulumbembe ndio nini?Wewe nitakutafutia kulumbembe moja mguu wa shingo mguu wa roho!