girlfriend

A girlfriend is a female friend or acquaintance, often a regular female companion with whom one is platonic, romantically or sexually involved. This is normally a short-term committed relationship, where other titles (e.g., wife, partner) are more commonly used for long-term relationships. A girlfriend can also be called a sweetheart, darling, or honey. The analogous male term is "boyfriend".

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakikisha mpenzi/girlfriend wako awe anajishughulisha na chochote cha maana

    Kama wewe ni mwanaume au kijana wa maisha ya kawaida au kipato cha chini hakikisha girlfriend wako awe anafanya kazi, ameajiriwa mahali , analima, anafuga au anafanya biashara, hamna hamna kabisa angalau awe anasoma amekaribia kumaliza chuo. Kijana Epuka mwanamke asiyekuwa anafanya chochote...
  2. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  3. True Man11

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    Wakuu mpo salama humu?? Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester. Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na...
  5. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Girlfriend allowance

    Kama mwanaume anapata take home ya 1.2M, anatakiwa kutoa shilingi ngapi kwa girlfriend wake kama girlfriend allowance?
  6. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

    Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda; Happy birthday Valentine’s day Happy new year Boxing day Happy girlfriend day Happy mothers day na Happy upuuzi mwingine. Kuna siku wataleta "Happy...
  7. Surgical Gloves

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu anatoa sana namba yake ya simu kwa wanaume wengi

    Natumai mko wazima wa afya njema, na kwa wale wenye changamoto za kiafya MUNGU awafanyie wepesi mpone haraka na kuendelea na majukumu yenu ya kila siku.🙏 Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa 25 now na ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya kyela,ila kwa sasa niko Dar es salaam kimasomo(naomba...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

    Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

    Habarini wapendwa, Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu. Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

    Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni upopoma kwa mwanaume kumsaidia mpenzi au mke figo yako wakati unajua wanawake wa leo siyo waaminifu muda wowote mnaachana

    Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine. Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
  14. Pule

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

    Habari za wakati huu! Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Haudaiwi chochote na girlfriend wako

    Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu. Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende. You...
  16. Quraish Hussein

    JamiiForums Tanzania Candy AI Review: The Ultimate AI Girlfriend Experience

    In a world where artificial intelligence is rapidly evolving, one intriguing development has caught the attention of many: AI-driven companionship. Among the various offerings, Candy AI stands out as a revolutionary tool designed to provide an AI girlfriend experience. This blog post delves into...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  18. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  19. 12345609

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba(ke)

    Umri ni miaka 26 ninatafuta mchumba(ke)akiwa na miaka 24 hadi 30 itakuwa safi na itapendeza kama utakuwa morogoro au dsm
  20. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend wa kusogeza naye siku

    Bila kuchoshana kama tangazo linavosema hapo juu Natafuta mpenzi wa kuchat nae na kujuliana hali hivo vingine tutapanga baadae kama penzi likinoga Masharti:awe mwanamke basi inatosha
Back
Top Bottom