Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,231
- 55,474
Silaha inaandaliwa wakati wa amani ila hutumika wakati wa vita.Ukitaka kuona wanawake wachache amua kuoa😀
Silaha inaandaliwa wakati wa amani ila hutumika wakati wa vita.Ukitaka kuona wanawake wachache amua kuoa😀
Naona umeamua kutufungua macho hapo umewapa ramani wale wasioijua ramaniUkitaka kuona wanawake wachache amua kuoa😀
Vijana wengi wa kiume hii hawataki, wao aliyetulia then ndio aoe😀Kuna mwanamke unaweza muoa akiwa shindikanaa ila akiolewa akatulia na mtulivu akabadilika akawa shindindikanaa ndoani
Hapo haupo serious. Umri wa mwanaume kuanza kufikiria kuoa ni 35 na mwanamke kuolewa ni 30 Siku hiziMzee wa miaka 37 umeshindwaje kupata mke tangu early 30 huko
Wajaribu kutaka kuona waone kama wnawake ni wachache au ni wengi 😀Naona umeamua kutufungua macho hapo umewapa ramani wale wasioijua ramani
Unamaanisha niniSilaha inaandaliwa wakati wa amani ila hutumika wakati wa vita.
Hapo umeshaoa ila before kuoa kuchagua aloshindikana sio rahisi ukiona hivo hapo ulikuwa kwenye last option au labda sijui ni nn 😀😀Kuna mwanamke unaweza muoa akiwa shindikanaa ila akiolewa akatulia na mtulivu akabadilika akawa shindindikanaa ndoani
"Nawaza niende vijijini"Wakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
Mkristo.
point saanaUkitaka kuona wanawake wachache amua kuoa😀
Kupewa nini sasa 😂Katika vitu sitaki pressure ni suala la kuoa
Mzee Juzi alinambia oa ukiwa tyr ndani yako na sio jamii....
Agemates walionizunguka wengi watoto wapo kwa bibi, wengine kwa dada wengine kwa mama zao wengine washaachana mbele ya wazazi
Yaan kila muda wanajuta
Kuoa ni muhimu nami nikaone kususiwa bure au mpaka ninunue maini ndo ntapewa cc min -me
Una hakika wewe unafaa kuwa mume? Isije kuwa wewe ndio tatizo.ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke
naweza kukubaliana na ninyi nyote inatokana na aina ya utongozaji wako na aina ya wanawake unao watongozaNi kweli kabisa ila kwenye kulinganisha na pesa , sioni kama kuna faa labda useme hizi pesa za kula, kuvaa na kumiliki ka kibanda😅
na uhakika sababu najijua sanaUna hakika wewe unafaa kuwa mume? Isije kuwa wewe ndio tatizo.
kweli hakuna mkamilifu ila kuna mapungufu ambayo ni ngumu kidogo kuvumilia au yanaweza kukufanya usifurahie ndoa yako bahati mbaya wadada wengi wanayo siku hizi nadhani sababu ya nature ya maisha (hapa sizungumzii pesa)Ukitaka kuoa usiasasambue mambo kwa kina yatakushinda from experience kuna mtu alitaka kunichumbia ila tulikuwa hatuelewani mm A yeye B na hakuna anaetafuta amani
Mwisho nikashuka nikaanza kukaa sawa yeye ikawa point sifai kuwa mke sabbu huko mwanzo sikuwa hiv sikuwa vile kuna jamaa kachoose vichache zikafika 70 hizi 30 za hasira sijui na nn anazimanage kiume kaoa maisha yanaenda huyu A anatafuta wa kuoa mitandaon sasa hivi anatamni siku zirudi nyuma
So jua kuweka sautiyako sawa hakuna mkamilifu hata wew hujakamilika
Kama yapi?kweli hakuna mkamilifu ila kuna mapungufu ambayo ni ngumu kidogo kuvumilia au yanaweza kukufanya usifurahie ndoa yako bahati mbaya wadada wengi wanayo siku hizi nadhani sababu ya nature ya maisha (hapa sizungumzii pesa)
NI kweli"Nawaza niende vijijini"
Bro huko bush hakuna ma fala now days utaauziwa mbuzi kwa gunia.
siwezi yaweka hapaaKama yapi?
Huwezi sema unatafuta mke/mume hao unakutana nao kwenye mitikasi tu ya kimaisha.Unamaanisha nini