cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,684
- 195,481
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kuona wanawake wachache amua kuoa[emoji3]

Usimsanue plz. [emoji23][emoji23][emoji23]"Nawaza niende vijijini"
Bro huko bush hakuna ma fala now days utaauziwa mbuzi kwa gunia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Una hakika wewe unafaa kuwa mume? Isije kuwa wewe ndio tatizo.
hakuna wa kumwambia wala kuingilia maisha yangu, atakuwa mke wangu na maamuzi yanguSahivi ukioa, bado huyo mke ataambiwa hakupendi, kapenda pesa zako tuu.
Tafuta beki 3 oa ufurahie maisha ya ndoa mkuu.Wakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
Mkristo.
Mchakato wa ndoa nipasua kichwa sana ilinichukua miaka 7 kuamua nioe nani ila sikuwa kama wewe. Mimi nilikua nina watu wangu kabsa....Wakuu mpo salama humu??