Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
Si uokoteze humu umpelekee
 
Take your time. Suala la kuchagua wa kuwa naye siyo suala la kuharakishwa, it's never late.

Mwanaume hana limit kama ilivyo mwanamke, mwanaume hata akiwa na miaka 50 anaweza akaoa binti wa miaka 25 na kuzaa naye watoto.
 
Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
oa unaeona mnavumiliana kwa mengi,maana ndoa inahitaji uvumilivu na maelewano
 
Katika vitu sitaki pressure ni suala la kuoa

Mzee Juzi alinambia oa ukiwa tyr ndani yako na sio jamii....

Agemates walionizunguka wengi watoto wapo kwa bibi, wengine kwa dada wengine kwa mama zao wengine washaachana mbele ya wazazi

Yaan kila muda wanajuta

Kuoa ni muhimu nami nikaone kususiwa bure au mpaka ninunue maini ndo ntapewa cc min -me

Hapa ninachoona unaogopa kuoa kwasababu ya majanga yanayotokea kwenye ndoa za waliokuzunguka.

Dont fear bro Monetary doctor.
Maana Hata ukichelewa kuoa . Kama ni kupata majanga utapata tu. Na kama hautapata bas hautapata.

Kwahiyo kuchelewa hakufanyi usipate majanga .

Ni muhim kuoa mapema.
mwil ukiwa umechoka. Bas vijana wako wanakuwa wanajitegemea.
 
Back
Top Bottom