Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

Wakuu mpo salama humu??

Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.

Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.

Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.

Mkristo.
Hatuchekani kaka.. tusake hela na amani ya moyo
 
JITAHIDI UOLEWE. INGAWA SISI WAOAJI WACHACGE SANA SIKU HIZI.
 
Kitu kimoja ambacho Watu wengi hawakijui ni kwamba.
1. Hakuna binti au mwanadamu aliyekamilika. Kila mtu ana mapungufu yake. We angalia yepi unaweza yavumilia ukaishi nayo
2. Nje ya hapo, labda tukupe udongo umuunde kiumbe wako unayemtaka ambaye unaona kakamilika
 
Nenda Chuo kikuu cha Dar es salaam kule ukachukue msomi mmoja umpeleke kwa bi mkubwa.
 
Mzee wa miaka 37 umeshindwaje kupata mke tangu early 30 huko
Sio easy kama mnavyodhani

Wengine hubahatika tu kupata hao mapema.

Ila linapokuja suala la kuoa wanaume Huwa tunakuwa makini sana.

Ukija fika unatafuta mtu wa kuendeleza kizazi chenu sio Kila mtu anastahili hio nafasi.

Na Kwa wadada wa generation hii ndio kabisa ugumu unaongezeka
 
nilikuwa natafuta hela kwanza na maisha mama!! sikutaka kuoa kwa hulka mtoto wa watu alale pabaya au asile anachotaka kwa wakati
Sahivi ukioa, bado huyo mke ataambiwa hakupendi, kapenda pesa zako tuu.
 
Back
Top Bottom