aisee hii miraa ya kenya imekushinda jaribisha ya Arusha nani kakuambia kua ni cdm acha kupingana na chama cha mungu
naona baada ya jitihada zote za kumuua kushindikana sasa wanaamua kuivamia familia yake ili apoteze concetration. si unakumbuka ile sumu ya ben saa8 na sakata la kulegeza nuts kwenye taili za gari lake?
Ujue unaposema chama cha mungu kwa kifupi ni CCM
Sijui Mh. Zitto amewakosea nini viongozi wenzake wa CHADEMA.
Sasa hutaki nini?Mkome kumhusisha Mungu na ufedhuli.
Sasa hutaki nini?
Mungu ni mmoja tu na taasisi ya mungu duniani haina mbia.Mungu na CCM wapi na wapi? labda yule mungu mwingine
nitaendelea kusema na kusema kuwa sote hatuko salama,c babu c bibi yako wala mama na hata baba zetu,kuwa cdm ni kosa la jinai kwa maccm.....nashukuru jamii yangu yote imeelimika na kazi bado inaendelea.
Swala la mama zitto ni muendelezo wa yale yale ya kuchafua chama pendwa,usishangae wakaanza hata kufukua maiti za ndugu zetunakuziacha nje ya makaburi na vimemo mifukoni kuwa niliuliwa na masanja wa cdm
unataka kumaanisha nini?utekwaji huu una mahusiano gani na CHADEMA? msipende sana kupotosha kila jambo
Mbona hiyo ''kada wa cdm'' ni haraka kana kwamba ilikuwa imetazamiwa? Hata hatujajua ni wapi, ni saa ngapi, nini kilitokea ndio tujue kama wamefahamika au lah! Tiyari kwa haraka kada wa cdm. Ni muendelezo wa kupeleka picha kwa wananchi kuwa ni chama cha kigaidi eh? Mama alikuwa anatoka wapi na l/top?