MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
Mama yake Zitto sio MFUASI WA KANISA HILO ULILOTAJA Umkomeee....!
Ni mfano tu nimetoa mkuu wangu
Mama yake Zitto sio MFUASI WA KANISA HILO ULILOTAJA Umkomeee....!
Sasa vibaka flash ya nini au walitaka wakaweke nyimbo za mchiriku?
Umetisha hapo! Wanadhani wana haki miliki ya hii nchi!Ccm/usalama mnataka mtawale hii nchi forever? Nyie kweli ni mbw* !hatudanganyikiii!ikulu tamu eeh!nyooo kila kukicha kutengeneza ma issue tu mnataka make ikulu nyie na wanenu tu!kiama yenu yaja wananchi tulishawachokaga zamaniiii yani bora ata wawekwe wanyama waytatutawale ila sio nyie mafisadi papa tumewachokaaaa!!
You're dead wrong.Hao ni vibaka wa kawaida tu. Haina uhusiano na kazi za kamanda zitto.
Kweli mkuu kwa nini wasiombe pesa ila watake vitunza kumbukumbu?Sasa mama wa zito ana nini mpaka atake kufanyiwa unyama kwanza huyu mama si mlemavu,huyu ni malando pasipo shaka make yeye ndiye kapewa jukum la kumchafua zito.
Mkuu hutayasikia tena baada ya 2015. Haya ni mateke ya mwisho ya CCM inayokufa na vibaraka wake ndani ya CDM.
Mama mzazi wa Naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake mengine...
Habari zaidi magazeti ya leo.
Chadema wameenea kila idara mpaka wapiga kabali za mbao wamo.