Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Hata mtu atakaposhindwa kwenda chooni wiki nzima mtasema chama flani chahusika pumbafff. Siasa gani mnazoleta za kuhusisha mambo ya vibaka na siasa? Kweli Tz tunapoelekea na siasa hizi mh, sijui huko mbele.....
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
ile movi ya lwakatare inaendelea, ushahidi unatafutwa kwa udi na uvumba ku-justify kwamba CDM ni magaidi- Kazi bado ni pevu.

hizi siasa hazitufikishi popote ndugu zangu, sana sana tutaingia kwenye machafuko tu yasiyo na lazima.
 
Kubwa la maadui baada ya kumshindwa Zitto wamehamia kwa Bi mkubwa wake.
 
Hao ni vibaka wa kawaida tu. Haina uhusiano na kazi za kamanda zitto.

wewe ni mpuuzi,unamahaba ya kipuuzi,huoni kuwa chama kinamipanga ya kishetani kuua watu Huyu mama ametaja kuwa Kuna kada wa chadema amemuona na kumtambua,,hiki chama kinanuka damu hamtafika popote
 
Mama mzazi wa Naibu katibu
mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia
wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake
mengine...

Habari zaidi magazeti ya leo.

mkuu, vipi gazeti la udaku la tanzania daima wameandika habari hii?
 
wewe ni mpuuzi,unamahaba ya kipuuzi,huoni kuwa chama kinamipanga ya kishetani kuua watu Huyu mama ametaja kuwa Kuna kada wa chadema amemuona na kumtambua,,hiki chama kinanuka damu hamtafika popote

pole sana mama,vipi huyo kada wa cdm hana jina
 
Mbona hiyo ''kada wa cdm'' ni haraka kana kwamba ilikuwa imetazamiwa? Hata hatujajua ni wapi, ni saa ngapi, nini kilitokea ndio tujue kama wamefahamika au lah! Tiyari kwa haraka kada wa cdm. Ni muendelezo wa kupeleka picha kwa wananchi kuwa ni chama cha kigaidi eh? Mama alikuwa anatoka wapi na l/top?
 
Kubwa la maadui baada ya kumshindwa Zitto wamehamia kwa Bi mkubwa wake.
Mhusika mkuu wa hili movie ni Zitto mwenyewe. They can't fool us. Sikujua, hivi huyu ndiye bi mkubwa wa Zitto?
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.

Hili gazeti la Mtanzania Jumatano huwa lina matatizo gani maana lazima waandike propaganda chafu dhidi ya Chadema
 
vipi siri imebumbuluka? hawaku apply ile spray kama walivyofundishwa na lwakatare?

Hapana walitumia mbinu ya nchemba.
Mambo mengine tuache utani kama mama kamtambua mmoja wa wahalifu basi sheria itachukua mkondo wake
Haina haja ya kuchafua watu wengine.
 
Pole sana Mama Zitto,tuache masihara majambazi hawana itikadi.

du kumbe siku hizi majambazi wanachagua cha kuiba! wanataka flash, CD na kompyuta pekee. hawajasema kama wanahitaji fedha!
 
Back
Top Bottom