Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Hapa umenena Mkubwa babalao

Heko sana!

Hapana walitumia mbinu ya nchemba.
Mambo mengine tuache utani kama mama kamtambua mmoja wa wahalifu basi sheria itachukua mkondo wake
Haina haja ya kuchafua watu wengine.
 
Last edited by a moderator:
Sina maoni kama nilivyokosa maoni kwenye movie ya mkenya aliyemteka Dk. Ulimboka.

Tutakuwa na maprodyuza wazuri sana mwakani
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.

Kama filamu ya Lwakatare vile.
CDM mpoo!!!
 
Muheshimiwa Zitto jikaze tuwaachie polisi wafanye kazi yao wewe chapa kazi!
 
Wenye akili hapa hawapati shida. Kama kuna kada wa CHADEMA alionekana, uwezekano mkubwa huyo ni kada wa CCM ambaye kituo chake cha kazi ni ndani ya CHADEMA, ni Ludovick mwingine. CCM watahangaika sana lakini kila wanachofanya, wananchi wanajua. Kila mbinu wanayopanga, badala ya kuwasaidia ndiyo inazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi yao.

una akili sawa sawa wewe???mbona unataka kupotosha mada na ukweli??? mama yake zitto amemtambua kada wa chadema. hata hivyo tuwe tunasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.
 
Yuko slaa, mbowe na wengineo katika viongozi wa chadema? Hata pole ya kinafiki hamtoi?

huwa hamuishiwi maneno, mbowe aliwahi kwenda kumuona kibanda halafu mkasemaje vile? Leo mbowe, slaa wawahi kumpa pole ili msemaje vile?...mwanachadema ni binadamu kama wengine kwa hiyo anaweza kuwa mwizi au jambazi kama kinana, chizi kama lusinde, mwigulu. Dhaifu kama jk na serikali yake. Kama jambazi anajulikana achukuliwe hatua mara moja
 
Another Muv. Yatatokea mengi kabla ya 2015 hasa kwa vile Polisi wamehalalisha haya.
 
Pole sana kamanda na mama yetu Bi.Shida, kwa maswahibu yaliokupata, vumilia kila kitu kitajulikana.
Mungu akupatie Amani na uwe na imani!!
 
Mabaki ya Kamanda Lwakatare yaliyobaki Uraiani! Mnaweza kumuua Zitto au Mama yake ila hamna uwezo wa Kuua mawazo yake milele!

Mko wangapi maana naona mnashambulia kweli kwa buku 7 duh... wananchi tumeerevuka hatudanganyiki, tunajua CCM wanaweza kufanya lolote ili wananchi washindwe kufuatilia budget, hela za watu za Korosho na ile mikataba kumi na saba... rudini kivingine maana hata CUF wakifanya mtalaumiwa mi CCM shimo mlilowachimbia CDM mmedumbukia wenyewe....
 
nanukuu tu ''Ushauri- tuwe makini na "Agente provocatuers" au in English "provocation agents" nyakati kama hizi. Calmness is the best protection against provocations. Nadhani mmenipata"
Watanzania wengi tunatabia ya kufuatilia upepo unakoelekea na si unapotokea, nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa ''Detective movies'' nukuu hiyo hapo juu kwangu mie ni Bonge la ''Clue'' sintoufuata upepo uendako nafuatilia utokako!! Siasa zetu kwa sasa zinahitaji umakini sana, haya matukio ya kutekwa waandishi wa habari, wanasiasa kuhusishwa na ugaidi ni mambo ambayo naamini yanafanyika kwa kiwango cha hali ya juu sana iwe yanafanywa kweli au ya kupandikiza! kwa mara ya kwanza nilistuka sana baada ya kuiona video ''Rwakatale' simhukumu kwani ukweli utajulikana mahakamani, kwajinsi maelezo yalivyokuwa mle ilkuwa kama naagalia FBI movies vile na kwa sasa huenda mbinu hii ya ''kutia mtu wasiwasi'' kutisha kwa maneno au vitendo vya kuteka vikaendelea kwani huenda inawafaidisha wanaosingiziwa au kusingizia!! what makes it more interesting na movie hii ni kuwa wahusika ni CCM/SERIKALI na CHADEMA ( mhukika mkuu hajajulikana bado), kwa undani zaidi kuna wahusika wengine wadogo wadogo toka pande zote mbili ambao wamegawanyika na kuishia kutoa siri za wanaodaiwa kuwa wahusika wakuu.... hawana umoja hawa!! hawana siri hawa!! kitu kinacholeta utamu wa movie hii... naamini kutakuwa na mwisho wake ambao ni kuelekea 2015. Kibaya zaidi ni kuwa huenda wahusika wakuu hawatambui kuwa mwisho wa movie hii ni kuwa STELINGI ATAKUFA!!!! napita......

mm, mh, no...stelingi atakutana uso kwa uso na igondu, alaf igondu atafungwa kamba mikono yote kwa nyuma ndipo sasa kazi itaanza. igondu atang'olewa jino moja kwanza. wakari igondu analia pale chini huku akijigalagaza stelingi ataona kashinda. lakini daa.... kumbe dpp alikuwa kwenye kichaka jirani aise. dpp atakuja kwa kunyata nyuma ya stelingi na vita itaanza tena....steling ataokolewa na marando
 
huu uzi najua member wanaolipwa na lumumba kama bungen na wengne wataonekana apa cz lazma waihusishe na siasa zao za majtaka
 
haya ni maelezo ya mama zito:siku kazaa kabla ya tukio kunamtu alinipigia simu na alijitambulisha kuwa yeye ni mwanachama wa chadema tawi la tabata relini na kuniomba msaada wa mifuko miwili ya saruji kwa ajiri ya kukalabati jengo la ofisi yao.nilikubali kuwasaidia bila kuwa na fikra kwamba ni watu wabaya hivyo walikuja nyumbani na nikawakalibisha ndani na kuwaeleza kuwa nitawapatia 20000 na wao waongeze 10000,niliposimama kuelekea chumbani kuwachukulia kiasi hicho cha fedha mmoja wao alitoa bastola na kunielekezea kichwani huku akieleza kuwa hawana shida na pesa bali wanatka laptop,flash na simu yangu kwa sababu zinamambo muhimu.
 
Hao wezi ambao mmoja wao inasemekana ametambuliwa hawana wasiwasi kwa vile CHADEMA kina mawakili ambao ni magwiji wa sheria.

Hata kama atakamatwa, jopo la mawakili zaidi ya wanne watamtetea bila tatizo mahakamani.
 
sasa hivi majambazi yameanza kutambuliwa kwa itikadi ya kisiasa,eti jambazi la chedema/kada wa chadema,itafuata kutambuliwa kwa kanda,na baadae kuanza jambazi la kikristo au kiislamu
 
hivi Bi. mkubwa kulikuwa na haja ya kumtambua kibaka kwa itikadi yake ya kisiasa.?

hivi ungesema miongoni mwa vibaka namfahamu taarifa yako isingeeleweka.?

kwa kukihususisha Chadema na hili tukio huoni kuwa unakiandama chama chako ambacho wewe ni mjumbe wa kamati kuu.?

sasa huyo mhalifu utamshitaki wapi kwenye chama au polisi.!!

kila mhalifu ana itikadi yake iwe dini ai siasa, raia wengi wanaporwa au kuibiwa kila siku lakini hawaripotiwi kisiasa. tuangalie huko mbele tutaanza kuripoti uhalifu kidini.

wapo wanaosubiri jina la huyo kada wa chadema wapate cha kuongeza.
tuombe asiwe wa upande wapili.!!
 
Hatujaambiwa mazingira ya kutekwa kwake, ila in Kiongozi wa juu BAWACHA, hiyo naomba Bawacha watoe Tamko kama wakiona mazingira yanaruhusu.
CC Ben Saanane Tumain Makene
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mpuuzi,unamahaba ya kipuuzi,huoni kuwa chama kinamipanga ya kishetani kuua watu Huyu mama ametaja kuwa Kuna kada wa chadema amemuona na kumtambua,,hiki chama kinanuka damu hamtafika popote
Kitaondoka kwa mapenzi ya Mungu na wala sio nyie mashetani,mafisadi,wezi wa rasilimali za umma,wezi wa meno ya tembo,mikataba feki,rushwa,mauaji,ufuska na kila aina ya uchafu uliopo ndani ya masisiem....
 
Back
Top Bottom