Mama wa miaka 50 ananitaka

Mama wa miaka 50 ananitaka

Nimekosa kabisa neno zuri la kukuita ila naomba niseme ivi ...AKILI YAKO IMEKOMAA KATIKA KUFIKIRI.... maandiko mengi ni nadharia yakutengeneza hofu ili kupunguza maasi duniani
Maandiko hayajatungwa ili kupunguza uovu ila kilichoandikwA kipo na ndomana wanasema Mungu ni neno ukiielewa kwel hiyo kwel itakuweka huru inamaanisha kwamba ukiilewa katiba ya maisha yani(Biblia) utakua umeielewa kwel na hiyo kwel itakuweka huru kama hujui biblia inaishi na haijawahi kupitwa na wakat na ndomana wanasema utandawazi usikufanye ukahalalisha dhambi kuwa kitu cha kawaida. Jipe mda soma sana biblia hasa agano jipya trust me lazima utabadilika kiroho
 
Basi tuchukue vitabu vya waandishi wetu kama kina shaban robert na wengineo tuviunganishe tutengeneze kitabu chetu kama biblia ili tufate kitabu chetu na sio hicho kilichokuja na majahazi.

Ktk hicho kitabu chetu tukazie na kuonya kwamba ukifanya maovu siku ya mwisho utaenda kuzimu na ukifanya mama utaenda sehem nzuri
 
Siwezi tongoza mwanaume ever.

Miaka 52 huyo ni dogo sana, sema tu wewe huna nguvu za kiume
Ninazo , ila i have nothing to proove to you.

kama wewe una 70 na unaliwa na hawa 20's niwewe ila mimi sitombi wazee.

K u m a imeliwa miaka yote 60 uje unipe mimi
 
Jitathmin muonekano wako inawezekana na wewe una muonekano wa kibabu babu

Sawa na mtoto wa darasa la nne wa like amtongoze mwalimu wake wa kiume bila shaka hata mwl atakuwa anamuoneoano au tabia za kitoto ndio maana mtoto kachagua wa size yake
niko namuonekano wa kijana ila haka kakitambi lbda
 
Acha ujinga.Una miaka kati ya 30 hadi 32 ndiyo umri gani huo.Nchi jirani jina kapuni.Kivipi?Muwe mnatunga sensible issues.
Sasa nimesema nchi jirani , unaumia na wale walio mabele huko,? usa, china, canada

Nauli ya hapo dar kuja huku ni ndogo sana.

Usiwe na hasira na maisha ya watu kiasi hiko

emu relax, weka matako chini ,jipige kifuani alafu sema " mimi ni mjinga"
 
  • Thanks
Reactions: pha
Nyumba na gari vitamsaidia nini wakati atakua keshabeba laana, dhambi na mikosi ya kutosha kwa kulala na huyo mwanamke?

Riyan usimuangalie huyo mama kama yeye angalia msukumo wa hiyo roho ya kukutumikisha ulio ndani yake unaenda kutengeneza nini kwenye maisha yako

UFUNUO 2: 13; 19-22
Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.

Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
@mama D Asante kwa ushauri mzuri , Wapo wanaosema eti sijui hiki na kile lkn naamini ni watu waliona makasiriko mengi . Jf ni sehemu ya msaada , sasa nkaombe wap ushauri?
 
Utakua yna ugwadu sana mkuu na huna pakupumzkia kias kwamba huchagui mwanamke

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja enzi hizo alikua anapiga hovyo hovyo wanaojileta kizemb. Yaan haangalii sura wala umbo sjui nn yeye mradi awe mwanamke alikua anasema yeye ni jiko la shamba halichagui kuni,, tulikua tuna mtania sana ila hakuskia

Naomba nikushauri mkuu, basilica usiwe hivo na sisi wanaume tunapswa kujiheshimu sio kila mwanamke ni wa kusex nae. Mda mwingine jithaminishe huyu sio hadhi yangu sasa ww kila kitobo unataka kupita nacho
asante boss
 
Wakuu habari?

Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.

Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.

Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.

Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.

Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.

(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)

Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,

Naomba ushauri wakuu nifanyeje?

View attachment 2303886
Anafanana kidogo na yule mama ...ema?
 
Kwanini kwasasa kuna wamama wengi wenye umri mkubwa wanaopenda kupelekewa moto,ina maana wataalamu walitudanganya eti mwanamke akifikisha 45 hamu inapungua
 
Wakuu habari?

Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.

Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.

Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.

Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.

Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.

(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)

Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,

Naomba ushauri wakuu nifanyeje?

View attachment 2303886
usipo mla wewe watamla wengine sasa sibora umalize kona tu umle wewe
 
Mke wa mtu msala, ila kama hana mwenyewe, mlete kwangu niruke nae kijoti.
 
Back
Top Bottom