Mama wa Kambo

Mama wa Kambo

Mkuu tajaribu siku kuongea nae maana ni mda sana hatujaonana ila kuna siku isiyokua na jina takaa nimwambie

Ila mkuu ishu inakuja hizi story zinaanzaje an na lengo la kumwambia itakua nini maana yule mtu mzima atawaza kama namkandia hivi
Najua si kumweleza bila preamble! Unaweza kuanzia kuwa unataka kuoa ila unapata kigugumizi kwa vile unaweza oa mkaachana na mke mkiwa na Watoto wakapata shida kulelewa na mama wa kambo. Unaomba nasaha zake kama baba, kutokana na uzoefu wake akupe mwongozo.

Atajitetea, ataongea , wewe msikilize na baadaye anza kumweleza kuwa uoga wako unatokana na malezi yako ambapo mwokozi wako alikuwa ni yeye ila kama mtoto uliogopa kumweleza Ukweli. Hapo jimwae
 
Daaah mkuu umewaza.mbali sana ..
Na nauchukua huu ushauri wako kama ulivyo aiseee...

Na hii itakua ni mwanzo wa mimi kuwa na kahusiano mazuri na wadogo zangu
 
Mkuu hivi ile hali ya uoga inakuaje sijui..
Maana uwezi funguka unahisi ukimwambia mzee,
Yeye atamface maza moja kwa moja na hapo watagombana alafu badae baba akiwa kazini show inarudi kwako.

Nakumbuka kuna kipindi mama mzazi alikuja nisalimia. Sasa kama unavyojua imefika asbhi nikasahau kumsalimia yule mama wa kambo..

Akaniambia wewe unisalimii kwakuwa upo na mama yako eeeeh haya tutaonana..

Na kweli tulionana mkuu hi siku ndo nilishikwa korodani nakubamizwa hovyo hovyo mbele ya wadogo zangu na hapa ilikua mda wa kula...

Me mpaka leo nina ule uwoga hata wa kupanda baskeli nahisi kama takalia korodani..
Jamni maumivu ya korodani yaacheni 🙌🙌🙌🙌🙌
Umenchekesha sana, yani hapa napumua kwa shida, kikohozi na mwili wote unauma lakini nimepata nguvu za kucheka.
 
Daaah mkuu umewaza.mbali sana ..
Na nauchukua huu ushauri wako kama ulivyo aiseee...

Na hii itakua ni mwanzo wa mimi kuwa na kahusiano mazuri na wadogo zangu
Of course! Ni vyema kuanza kuishi maisha ya raha na ndugu zako. Mkuu (ingawa wewe ni mtoto wangu kabisa, ila ki JF Ndivyo hivyo). Mimi hapa JF najifunza na katika kujifunza huwa najitahidi kufunza ili nijifunze zaidi.

Tafuta suluhu katika maisha yako si shubiri. Shubiri ije kwa bahati mbaya. Na kwa taarifa yako, Uhusiano kati ya mtoto wa kiume na baba yake ni muhimu hata kama humpi chochote. Mimi mwanangu wa kwanza alifikiri namchukia hadi siku alipokuwa anagradute degree yake ya kwanza. Kuanzia hapo mimi ni kama babu yake. Huwa nipo huru na Watoto kiasi wananiuliza maswali magumu na huwa nawajibu kiuhalisia.

Huwa nacheka anaposema mimi ni mkubwa sasa, nina maamuzi yangu. Huwa simbishii ila baadaye atafanya kama ninavyomshauri. Hata hunisimlia kuhusu marafiki wake wa kike etc imagine. Jitahidi kuwa karibu na baba yako, utaenjoy sana. Maana damu nzito kuliko maji.
 
Hawatapitia, ukija kuoa mkakosana na mkwe wangu, naomba uniletee wajukuu zangu nitawalea mwenyewe kwa upendo!
Mama mkweo anakusikia hapa ...
Naimani sitokua na kwengine pa kupeleka wanangu 🙌🙌🙌🙌🙏🙏
 
Yaaani mambo yalikua mengi sana manjata acha tuu..
Yule mama aliachwa mwaka ambao mimi nilikua form 2..
Na ile achana yao ilikua ya kibabe sana sijapata ona..

Mwanamke alikuja na fuso kubeba vitu ndani an mzeee mpaka alichanganyikiwa aiseeeee...

Siku anatoka alisema akija nidaka atanipa jeraha la maisha...
Baba alitoka taraka tatu baada ya yule maza kuondoka bila ridhaa yake...

Baada ya miezi mama akaanza kusumbua mara wakaanza kuperekeshana ustawi wa jamii..

Mambo yalikua mengi mnoo mnoo

Siku nikiwa naenda watcheki wadogo zangu nakuta amechoka mno na hapo akawa ananiomba msamaha na ushauri libao
huyo mama yako wa kambo wala hakua mnyakyusa....mnyakyusa hasa na uislam wapi na wapi?
 
Najua si kumweleza bila preamble! Unaweza kuanzia kuwa unataka kuoa ila unapata kigugumizi kwa vile unaweza oa mkaachana na mke mkiwa na Watoto wakapata shida kulelewa na mama wa kambo. Unaomba nasaha zake kama baba, kutokana na uzoefu wake akupe mwongozo.

Atajitetea, ataongea , wewe msikilize na baadaye anza kumweleza kuwa uoga wako unatokana na malezi yako ambapo mwokozi wako alikuwa ni yeye ila kama mtoto uliogopa kumweleza Ukweli. Hapo jimwae
mimi nina watoto wa5-...wa3 mama tofauti
Ninaishi na wa3 i,e wa2 wa mke wangu na mmoja mkubwa yuko form5 wa mama mwingine nilizaa nikiwa form6...ila wote shule zikifunga wanakuja nyumbani.

Mke wangu hajawahi mbagua wala kumsumbua yeyeoyte...wanawake wako tofauti
 
huyo mama yako wa kambo wala hakua mnyakyusa....mnyakyusa hasa na uislam wapi na wapi?
Sawa sawa...
Endelea kalili mkuu.. wanyaki waislam wapo kibao tuu nenda kiwira pale
 
mimi nina watoto wa5-...wa3 mama tofauti
Ninaishi na wa3 i,e wa2 wa mke wangu na mmoja mkubwa yuko form5 wa mama mwingine nilizaa nikiwa form6...ila wote shule zikifunga wanakuja nyumbani.

Mke wangu hajawahi mbagua wala kumsumbua yeyeoyte...wanawake wako tofauti
Wako fofauti sana mkuu ila katika 1/10
Roho ya kupenda mtoto wa mwingine ni tofauti kabisa.
Unaweza kuta yupo perfect ila likija suala la kupenda mtoto wa mwanamke mwingine inakua tofauti igwe
 
Wako fofauti sana mkuu ila katika 1/10
Roho ya kupenda mtoto wa mwingine ni tofauti kabisa.
Unaweza kuta yupo perfect ila likija suala la kupenda mtoto wa mwanamke mwingine inakua tofauti igwe
USIOGOPE WEWE OA
 
mimi nina watoto wa5-...wa3 mama tofauti
Ninaishi na wa3 i,e wa2 wa mke wangu na mmoja mkubwa yuko form5 wa mama mwingine nilizaa nikiwa form6...ila wote shule zikifunga wanakuja nyumbani.

Mke wangu hajawahi mbagua wala kumsumbua yeyeoyte...wanawake wako tofauti
Inawezekana lakini kumbuka haina formula! Ila kwa mwanaume inatakiwa usibweteke, ukajisahau.
 
Nishapoa mkuu..
Nishapoa ila mpaka sasa sina mahusiano mazuri na hao wadogo zangu wa baba mmoja
Daaah pole sana Mkuu, kuna sumu ambayo huyo mama wa kambo aliwalisha sema ipo siku watakuja kuujua tu ukweli hata kama ni kwa kuchelewa
 
Back
Top Bottom