Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,544
- 44,295
Hujui kua mimi ni agent 007??Vishu siwezi nikatoa namba ya mdogo angu au dada angu kwa mtu yoyote wa jf
Never happen mkuu siwezi acha ujinga wako tutapigana humu
Nitampata tu

🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Labda nifeHujui kua mimi ni agent 007??
Nitampata tu
We jamaa acha ujinga bana, umenifanya nicheke mbele za Watu ambao siwajui, hadi wamebaki wananishangaa tu 🤣🤣mh jf mamtu ni makubwa mno nitatafuta mtandao mwengine aiseee..😂
Daaah wewe mkuu uliinjoi ulikutana na mama wa kipekeee snaa na hongera kwa huyo mama aiseee...Pole mkuu. Nimeishi na mama wa kambo tangu nikiwa 4 years mpaka namaliza form six. Hakuwahi kunitesa kwa namna yeyote, in fact kwa kuwa nilikua mdogo kuliko watoto wake alinipendelea kama last born. Alinitetea dhidi ya makwezi ya hapa na pale ya mabro wakubwa (ambao ni watoto wake).
Mama sasa ni mzee sana kila akija dar hakosi kuja kwangu huku akinikumbusha jinsi nilivyo mtukutu! Alivyonipeleka shule etc. Nami tangu nipate kazi miaka 16 iliyopita sijawahi pitisha hata mshahara mmoja sijamtumia chochote.
N.b. Mama yangu yupo hai , walipeana talaka na mzee. Mama akabaki na watoto wa kike baba watoto wa kiume.
Yes wapo wachache sana. Nakumbuka tukiwa tunakula ugali kama maziwa yapo kidogo alikua akinipa mimi wengine wanakomaa na mboga tu. Sikumbuki kuwahi kunipiga (hata watoto wake hawapigi). Ana moyo wa kipekee.Daaah wewe mkuu uliinjoi ulikutana na mama wa kipekeee snaa na hongera kwa huyo mama aiseee...
Hao wamama sijui walikua wanapatikana wapi
Sijajua kwann wengi wana roho za ubinafsi kama hivi aiseeeeSio watoto wa kambo tu bali hata ndugu wa mwanaume. Kwa ufupi mwanamke hapendi kuishi pamoja na mtu yeyote wa upande wa mwanaume, si wakwe, si shemeji zake, si wifi zake, si watoto wa mume wake ambao hakuzaa na mumewe. Lakini kunyanyasika kwa ndugu wa mwanaume au mtoto wa kambo hutegemea sana na namna mwanaume anavyoishi na mwanamke.
Mkuu huyo mama nina imani pia anapatana sana na mama yako mzazi 99% kama sikosei....Yes wapo wachache sana. Nakumbuka tukiwa tunakula ugali kama maziwa yapo kidogo alikua akinipa mimi wengine wanakomaa na mboga tu. Sikumbuki kuwahi kunipiga (hata watoto wake hawapigi). Ana moyo wa kipekee.
Wanawake wengi mtoto kama sio wake inakuaga mtihani sana
Nishapoa mkuu..Pole Sana mkuu
Daaah mkuu show kali sana aiseeee..."Seriously niliweka chuki kwa baba,
Nilimchikia sana baba yangu, nilimchukia sana baba angu.. hii chuki mpaka leo inanitafuna niliteseka sana sana sana.."
"Nishawahi toroka hom"
Hahahaha umenikumbusha mbali sana tabora miaka hiyo usafiri ni treni tu. Hawa watu wasikie tu ila bado namshukuru sana Mungu kupitia hizo hustle ndiyo zilifanya kuwahi kuhitimu moja ya kozi ngumu sana. Mungu ambariki sana Mama hadi Leo sijaacha kumuita mama wala kumvunjia heshima.
Seriously niliweka chuki kwa baba,Let share something iwe kama kumbu kumbu hapo baadae (4/6/2025 Wed 3:26)... Malezi ya mama wa kambo
Nimezaliwa mkoani dsm Kizuiani hospital miaka ya 90 mwoshoni. Baada ya wazazi kutengana nikachukuliwa na baba kwenda mkoani, ambako huku baba alikua bachelor yaani hakua na mke hivo kazi ya kunilea ilikua jukumh lake japo sikua mdogo kiasi hicho maana nilikua la kwanza.
Nikisoma shule ya msingi inyala pale iyunga. Nilianza darasa la kwanza mpaka la pili baba akahama ile sehemu.
Na hapo nikaona.mbona baba kama anasumbuka sana maana kila anapirudi kazini anakua na kazi zaidi ya moja, atapika atafanya usafi na bado kuna kuniandaa mimi na shule.
Nilijikuta namuonea huruma na kumshauri baba aoe, bila kujua kumbe ndio najitengenezea moto ambao ulikuja kuniumiza badae.
Basi siku zikasogea ikapita miaka kama mitatu hivi na hapo tayari nilikua nipo darasa la 4.
Baba rasmi akaoa mwanamke kutokea kiwira.
Yule mama alikua mnyakyusa pure an baba yake mnyaki na mama yake mnyaki.
Mda huo wanaowana wote walikua na mtoto mmoja mmoja baba ana mimi na mama ana mdogo angu wa kike ambaye umri tupo sawa.
Maisha yalianza kubadirika kwani sheria zilikua very complicated sikutegemea kama yule mama angebadilika.kiasi kile hata week haikupita nikaanza kuona maisha magumu.
Mama alikua mkari, siwezi kujipendelea hata mi pia nilikua nina dharau hi ni mpaka sasa.
Mama alianza kuwa hatari kiasi ambacho kwangu shule ikawa ngumu.
Nilichanganyikiwa nikawa natoroka shule, sikuwahi kupenda tena kusoma kwani nyumbani niliona.mtiti na hata shule mtiti pia.
Mama huyu alikua akunyimi chakula,
Mama huyu alikua anajua kupiga alikua anapiga kiasi ambacho nilikuwa navuja damu.
Kisa.... Kuna siku tupo chumbani mimi, mama yule mtoto wake wa kwanza na mdogo wetu mdogo ambaye ni mtto wa kwanza na baba yangu.
Hiyo siku tulikua nae chumbani tunapiga story, baada ya kuongea akanituma nikaangalie chakula jikoni (wali) kama maji yashakauka.
Nafika jikoni nikafanya kama alivyonituma ila cha ajabu nilikuta mafuta yamemwagika chini.
Kuchunguza mafuta yanatokea wapi,
Nilikuta ni kabatini ambako yalikua yanaanguka tone kwa tone.
Yale mafuta yalikua hayajafungwa vizuri lakini pia lile dumu liliwekwa kwa ubavu ubavu kwa kuwa kabati lilikua dogo hivo kwa kusimama ilikua ngumu.
Mi nilitoka moja kwa moja na kumuita yule mwanae tukaenda jikoni. Baada ya kuona ule mtiti tuka shauriana tufute yale mafuta.
Basi ikafanyika hiyo kazi kwa dakika kama tano hvi mambo yakawa safi.
Akili za utoto, mda tunafuta yule mdogo wetu ambaye mi mdogo kati ya miaka mitatu hv ila alikua bado awezi kuongea
Alishuhudia tukio.la sisi kupiga deki pale ndani(jikoni)
Hatukuweka akilini maana alikua hawezi kuongea.
Baada ya sisi kumaliza ndipo tukamuita mama ili aendelee na hatua zingine kama ni.kupalilia au kupakua
Mama anafika jikoni hakugundua kitu, ila yule mtoto akawa ananyoosha kidole na kumwambia mama ""mama mama mmmmh mmmh"" alirudia sana mpaka mama akahisi.kitu
Mama akauliza "kuna nini hapa" kwa jinsi tulivyokua tunamuogopa.tukaanza kutetemeka.
Hapo hapo akauliza kwa ukali ile sauti ilifanya mwenzangu aseme kuwa.mimi.nimemwaga mafuta...
Hapo sikuwa na la kujitetea mama alishika mwiko na kunipiga.
Kichapo kilianzia jikoni mpaka nje.
Nyumba yetu ilikua ina Fance hvyo ni nje ya jiko. Mama alikua anauliza kama nimemwaga mafuta ila mimi nikawa nakataa
Yule mama alinipiga wakuu, yule mama alinipiga hiyo siku mpaka nikahisi kufa, wakuu yule mama alishika jaro alinipiga mpaka likaharibika.
Bado akatafuta vyekeo lakini kila akirusha kamba za nguo zikawa zinazuia lisifike kwangu.
Akanishika shingoni na kuanza kunikaba ile siku sitosahau alinikaba huku akilazimisha kunipeleka chumbani maana nilikua napiga kelele mno 🥺 🥺 🥺 🥺
Kiukweli na mimi kwenda chumbani nilikua sitaki kwani najua kule naweza kuuliwa kabisa.
Ila alifanikisha na kunifikisha chumbani. Huku akishika gongo lile ambalo hata sijui lilikua na kazi gani.
Alinipiga miguini nikajikuta naanguka chini.
Nililia sana huku namshika miguu kama ni kweli nimemwaga mafuta... Nilipigwa sana hii siku mpaka nikaenda kulala
Kiufupi kile kipigo kilidumu ndani ya masaa mawili. Baada ya kipigo nikaenda kulala mida ya saa 3 au 4 hv nakuta naamshwa naitwa jikoni..
Kufika jikoni nakutana na kesi ya kumwaga mafuta na anae soma kesi ni mama kumwambia baba kuwa nimemwaga kama lita mbili hivi .
Baba hakuuliza mara mbili alitoa mkanda akaanza kunipiga aiseee baba alinichapa ila nikiri baba alikua awezi kupiga kama huyu mama..
Baba alikua akinipiga mi mda wote nazuia sehemu moja tu ambayo ni mkononi maana nilihisi mkono ushavunjika kwa kipigo cha mama.
Baba nae alinipeleka sebureni na akaniacha akaenda kuchukua mkande wake special huo mwingine
Huo mkanda unafanana na ile mikanda ambayo.ukienda mashine za kusaga unaona.kuna.mikanda ina drive machine
Aiseee nilipigwa mnoo mnooo baada ya hapo nikaambiwa nikalale🥺🥺🥺
Seriously niliweka chuki kwa baba,
Nilimchikia sana baba yangu, nilimchukia sana baba angu.. hii chuki mpaka leo inanitafuna niliteseka sana sana sana..
Nilikuwa nawaza kurudi kwa mama.
Niliwaza hata nikajifiche kwenye buti nirudi dar ila wapi.
Hapa kati visa vikawa vingi vingi mno
Nishawahi toroka hom
Nishawahi kosa kupigwa jiwe la kichwa na mama
Nishawahi banwa korodani
Mama alikua anipendi
Mama alikua ananichukia sana......
Mungu si athumani nikapata likizo hii likizo nikaomba niende kwa.mama mzazi
Na wao wakakubali.
Hapo ndo ukawa mwanzo wa ukombozi.wangu nimefika dar sikutamani tena kurudi nikamwambia mama nipo radhi mnikate mkono.ili tu nibaki na wewe.
Bibi yangu upande wa mama alishangaa kauli zangu kwani.niliwambia kule kwa mama wa kambo mimi nakula sana , kuhusu chakula utakula utaacha wewe..
Mbeya mtu akikunyima chakula.huyo.mchawi.maana kuna vingi vya kufanya tumbo lijae
Ila kile kipigo nikasema bibi siwezi kurudi..
Hapo ndio nikabadili.jina rasmi kutoka lile jina la ubabani.na.kutumia.jina la umamani..
Majina.yana.maana.sana.katika.maisha yetu.. mimi si kwamba nilikua sina akili ila ni maisha na life style ilikua sio nzuri kwa mtoto kukua .
Nilikua na kisasi kwa huyu mama wa kambo kwanini alinifanyia vile
Why hakunipenda... Kile kisasi nilikaa nacho na nikasema ipo siku
Nitaendelea
Somo kwa ndugu zangu ambao wanatarajia kuwa na familia hapo badae.
Kwanza Mimba sio kitu cha bahati mbaya tambua hilo, usije kusema hujajipanga bado..
Pili... Wewe ndio unayeamua kesho mwanao kwa kumchagulia mama bora ambaye atatunza watoto wako...
Tatu... Mtoto kwa mama, ni wanawake wachache sana wana moyo wa kukaa na mtoto wa mwanaume... Sijui kwa sasa kama mambo yamebadilika
Ila kwa niliyopitia mimi Naomba Mungu anipe mke mwema ambaye huyo atakua mama wa watoto wangu milele.. kiufupi kuvunja ndoa hiki kitu kinaleta negative effects nyingi kuliko faida na ndio maana kwa uislam kuna vikwazo vingi kabla ya kumpa mke taraka....
Yes wanapatana.Mkuu huyo mama nina imani pia anapatana sana na mama yako mzazi 99% kama sikosei....
Mkuu acha tuu..Seriously niliweka chuki kwa baba,
Nilimchikia sana baba yangu, nilimchukia sana baba angu.. hii chuki mpaka leo inanitafuna niliteseka sana sana sana.😭
Mkuu wewe ulipata bahati snaYes wanapatana.
Ila kwa niliyopitia mimi Naomba Mungu anipe mke mwema ambaye huyo atakua mama wa watoto wangu milele.. kiufupi kuvunja ndoa hiki kitu kinaleta negative effects nyingi kuliko faida na ndio maana kwa uislam kuna vikwazo vingi kabla ya kumpa mke taraka..Let share something iwe kama kumbu kumbu hapo baadae (4/6/2025 Wed 3:26)... Malezi ya mama wa kambo

Nakuelewa sana pole sanaMkuu acha tuu..
Mungu atuepushe na haya majanga maana wazazi wetu ndo kila kitu