We unaonaje😊

We unaonaje😊

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
3,800
Reaction score
11,859
Yani Kwa mfano,wewe kijana unaenda kuoa mama mtu mzima mjane, huyu mama umemkuta ana binti mkubwa tayari mtu mzima. Baba yako nae anaamua kumuoa binti wa huyo mama.

Hapo yule binti yako wa kambo anakuwa mama yako wa kambo akija kwako anakuita baba,ukienda Kwa Mzee wako unamuita mama, na ukumbuke Mzee wako kamuoa binti yako wa kambo, kwa hiyo wewe ni baba mkwe wake na pia ni kijana wake. Mzee wako akija kwako anakuita ba mkwe au kijana wangu?
Na mkeo atamuita mkwe wangu au mama mkwe?
Ukienda Kwa Mzee wako unamuita mkwe au baba?

Na ukizingatia yule binti aliyeolewa na babako tayari ni mama yako wa kambo,na umemuoa mama wa mama yako hapo inakuwa umemuoa bibi yako sababu ni mama mzazi wa mama yako wa kambo so anakuwa mkeo na pia bibi yako!

Wewe ukiwa kama mume wa bibi yako,unakuwa babu yako mwenyewe!

Turudi upande wa watoto ikiwa mtazaa.mzee wako akizaa na yule binti wale watoto wakija kwako watakuita nani, babu Yao au kaka Yao?

Wanao ukizaa na huyo mama ukiwakutanisha na yuel baba yako na mkewe utawaambia msalimieni babu yenu na bibi yenu, mkeo nae atawaambia salimieni dada yenu na shemeji yenu...si ndio?

Ngoja niishie hapa..

Muwe na jumapili njema
Sis Abigailā™„ļø
 

Attachments

  • 1780725998469.jpg
    1780725998469.jpg
    249.7 KB · Views: 1
Yani Kwa mfano,wewe kijana unaenda kuoa mama mtu mzima mjane,huyu mama umemkuta ana binti mkubwa tayari mtu mzima.Baba yako nae anaamua kumuoa binti wa huyo mama.hapo yule binti yako wa kambo anakuwa mama yako wa kambo.akija kwako anakuita baba,ukienda Kwa Mzee wako unamuita mama,na ukumbuke Mzee wako kamuoa binti yako wa kambo,Kwa hiyo wewe ni baba mkwe wake na pia ni kijana wake.mzee wako akija kwako anakuita ba mkwe au kijana wangu?
Na mkeo atamuita mkwe wangu au mama mkwe?
Ukienda Kwa Mzee wako unamuita mkwe au baba?
Na ukizingatia yule binti aliyeolewa na babako tayari ni mama yako wa kambo,na umemuoa mama wa mama yako.hapo inakuwa umemuoa bibi yako.sababu ni mama mzazi wa mama yako wa kambo.so anakuwa mkeo na pia bibi yako!
Wewe ukiwa kama mume wa bibi yako,unakuwa babu yako mwenyewe!

Turudi upande wa watoto ikiwa mtazaa.mzee wako akizaa na yule binti wale watoto wakija kwako watakuita nani,babu Yao au kaka Yao?
Wanao ukizaa na huyo mama ukiwakutanisha na yuel baba yako na mkewe utawaambia msalimieni babu yenu na bibi yenu,mkeo nae atawaambia salimieni dada yenu na shemeji yenu...si ndio?

Ngoja niishie hapa..

Muwe na jumapili njema
Sis Abigailā™„ļø
Suluhisho kuwaoa wote mama na mtoto ili uzibe mianya incase...
 
Muwe na jumapili njema
Sis Abigailā™„ļø
Hapo ni sawa wewe uambiwe upigwe mimba na Kaka yako uliezaliwa nae tumbo moja na wewe ukakubari kisha dada yako akaolewa na Baba yako na akakubari akapigwa mimba sasa mtoto aliezaliwa baada ya dada yako kupigwa mimba wewe utamuitaje na huyo kaka yako wa tumbo moja ulieolewa nae atamuitaje Baba yako?

Maswali magumu yanayojibiwa kwa majibu mepese hua siyapendi kabisa
 
Back
Top Bottom