Duh ! Pole sanaNishawahi kosa kupigwa jiwe la kichwa na mama Nishawahi banwa korodani
Labda huyo mwanamke hajielewi au wale wa mambo mengi na sidhan kama wote wanaolelewa na mama et hawajaandaliwa kujali familia Mimi Nina mfano hai wa kaka yangu mwaka. Anafunga 40 yupo nyumban Kwa baba na mama kazalisha watoto huko kawatelekeza huyo unamsemaje? Na yupo Kwa baba na mamaShida ya kuwaachia watoto walelewe na mama zao ni kupata watoto walioharibiwa akili au mtazamo wa maisha. Yaani anakua sio mtoto anayeandaliwa kujali familia.
Naweza nisieleweke kwa urahisi kutokana na tafsiri ya kujali kuhusu familia. Ila tutolee mfano, msanii Diamond Platnumz, anavyoishi sasa unaweza sema ni matokeo ya namna alivyolelewa, mama alimjaza maneno, matokeo hata yeye Diamond alipofanikiwa bado amemkunjia baba yake, hajali kuhusu familia (yaani yeye mwenyewe kuwa na mama na baba) - hajali hilo.Labda huyo mwanamke hajielewi au wale wa mambo mengi na sidhan kama wote wanaolelewa na mama et hawajaandaliwa kujali familia Mimi Nina mfano hai wa kaka yangu mwaka. Anafunga 40 yupo nyumban Kwa baba na mama kazalisha watoto huko kawatelekeza huyo unamsemaje? Na yupo Kwa baba na mama
Mkuu afadhali wewe ulikua upo karibu na watoto wako..Nyumba ni mama na kaya ni bana.
Mwenye mamlaka na maamuzi ya nyumba ni baba, na baba anapo kosa kuishi kwa akili (hata awe mama yako mzazi) haya yatatokea.
Mimi ni baba, nina mke na tuna watoto 8.
Watoto 3 tumewazaa namke, watoto 5 alinikuta nao (wana wamama tofauti).
Sijawahi kusikia mtoto ananilalamilia hata jambo wala kuniambia mahitaji yake zaidi mama yao ndie huniambia wakisha zungumza.
Nyumba yetu ina amani tele ingawa mapungifu ya kibinadamu hayakosekwani, kuna kipindi nikiwa likizo hua naona siku za weekends mama mama yao asipo enda kazini, basi yeye wanawe wanacheza rede ama wana ruka msita, basi moyoni nafurahi huku nawapikia mara mojamoja, na hakika ninamshukuru Mungu kwa bahati hii.
Pole sana mkuu na samahani nikisema ulikua na baba mlumbavu
Daaah ilikua hataree.. na alidanganyika na ile hali ya udini wakati back history ya yule mama alikua baamedi
Utakuja jutami sihitaji baba wa kambo ndugu, unaona sasa huu mtandao ulivyo na watu wa ajabu mtu anaanza kutafuta mtoto humu..🤣
Taraka sio chap hivo mkuu...Pole sana Kwa masahibu ya utoton
Waislam hawana mambo mengi kwenye kutoa talaka naona wao ni chapchap ishu inakuja kwenye mtoto wa nje
Wewe mwanaume kama umeachana na mkeo ukaoa mke mwingine bas kama una mtoto au watoto mwache mamayao Aishi nao mama wa kambo hatokuja penda mtoto wako mpaka unaingia kabrin atafanya maigizo ujue anampenda ila nyuma ya pazia mtoto anateseka Bora mpe mama yo Aishi nao
Ni kweli mkuu hii ni kweli.Tukisemaga wanawake wana roho mbaya kwa wengine hasa watoto, mwanamke kuishi na mtoto wa mwenzake vizuri ni wachache sana katika 100 kumi haifiki
Mkuu hivi ile hali ya uoga inakuaje sijui..Yapo mambo ya kinyama yanayotendeka sirini hujui tu na watoto ni ngumu kukwambia kutegemeana na biti wanalopigwa na mama yao.
Fanya uchunguzi kimya kimya utakuja kugundua kitu na utajilaumu kwa kuchelewa kujua mkuu.
Mateso ambayo watoto wa kambo hupitia chanzo ni baba zao mkuu, na wababa wasio jielewa ndio chanzo cha maumivu kwa watoto wao.Unavuojisifia hapa hujui tu wanao wanavyoishi na Mama wa kambo. Wewe ukirudi ukawakuta shwari basi unatulia na kuja kutype JF. Kuna mambo mengi hujui.
Mkuu ngoja nendeleee...Ubongo mbaya tunasubiri muendelezo
Au ndo unapiga yakuz yavuz?
Naungana na wewe mkuuWanaume wapumbavu ndio hawatambui mambo yanayo twndeka kwenye nyumba zao mazee...
Mateso na visasi..Pole mkuu. Hapa ndipo single father's wangepata somo kuna watu wanajua kuzalisha kisha kunyanganya wanawake watoto wakisema watalea wenyewe ila wanashindwa na kuishia kuoa mwanamke mwingine au kutupia watoto kwa ndugu. Mateso makubwa wanayapata watoto
Safi sana...Mwanaume akizaa then akashindwa kulea mwaanwe, huyo ni mwanaume mpumbavu.
Mwanaume akio na kisha mwanamkw wake akanyanyasa mwana alie mkuta kabla hajawa alafu mwanaume asitambue.... huyo ni baba mpumbavu.
Yaani....
Mwanaume unawezaje kuzaa alafu mwanao aka kelelewe na mwanaume mwingine 🤔🤔
Nasema nini....Sahihi kabisa mkuu. Eti mwanaume anakaa kizembe kwa kudanganywa na maigizo ya mwanamke kwamba anampenda mtoto wake.
Unasema..😂😂😂Kumbe umezaliea round table😉