Nyumba ni mama na kaya ni bana.
Mwenye mamlaka na maamuzi ya nyumba ni baba, na baba anapo kosa kuishi kwa akili (hata awe mama yako mzazi) haya yatatokea.
Mimi ni baba, nina mke na tuna watoto 8.
Watoto 3 tumewazaa namke, watoto 5 alinikuta nao (wana wamama tofauti).
Sijawahi kusikia mtoto ananilalamilia hata jambo wala kuniambia mahitaji yake zaidi mama yao ndie huniambia wakisha zungumza.
Nyumba yetu ina amani tele ingawa mapungifu ya kibinadamu hayakosekwani, kuna kipindi nikiwa likizo hua naona siku za weekends mama mama yao asipo enda kazini, basi yeye wanawe wanacheza rede ama wana ruka msita, basi moyoni nafurahi huku nawapikia mara mojamoja, na hakika ninamshukuru Mungu kwa bahati hii.
Pole sana mkuu na samahani nikisema ulikua na baba mlumbavu