Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

Kumbe huu ndo utabiri wenyewe?
Basi ni coincidence tu,kwa sababu hajatabiri kama watu wanavyoamini

Cheki hio "story" ya watu kwenda kwa "waganga" na Rais kubemba "mission ya Mungu iwe mbaya au nzuri" na baadae anakwambia "Hawatoweza kwasababu Mungu kampa Mission yake Mheshimiwa Rais"

So hapo ana kana utabiri wake kwa kusema kuwa "hawatofanikiwa kumuondoa" kwa sababu Mungu "kampa kazi yake"

Imetokea tu Rais JPM kaondoka kipindi hichi,sidhani kama ina chochote cha kufanya na Mambo ya kiroho
 
11. Ondoa watumishi wafuatao;- Doto James katibu mkuu wizara ya fedha, Dorothy Gwajima, Dr mollel, Katibu mkuu wizara ya afya, Mganga mkuu wa serikali, RC mbeya, Dc Hai, Dc meru, waziri wa elimu, doto Biteko, Balozi wa tanzania nchini Kuwait, safisha tanroads, RC Geita,
Hii naamini ingekuwa namba moja.
Mama aanzie hapa!
 
Sana, tunaomba walioko usalama wamshauri avae barakoa, bado tunampenda Sana afanye changes kwa taifa letu na ikiwezekana apige miaka 10..
Mkuu ngoja tuone Kwanza hii miaka yake Minne ya mwanzo,ndipo tutatoa maoni.kwa Sasa ni mapemamno.
 
Mimi siwezi kuamini na wala sotokuja kuamini, kama ni hivyo angeondoka mwaka jana wakati Corona inaingia. Hiyo imechukuliwa kama sababu tu, nenda kasikilize unabii unasemaje
Noma sana.dahh!!!!
 
Ndio mahana Nasema kila siku Magufuli kauliwa na CCM wenxake mchawi yumo ndani wala hatoki nje
Hivi yale maji ya kiwanda Cha jeshi yapo mtaani? Alikizindua hicho kiwanda kwa kunywa maji yake, do you remember? Ajabu wenzake aliokuwa nao hawakunywa. Mny jr alisema amefunga alipotakiwa na JPM kunywa maji hayo...
 
Corona imekushangaza mpaka akili zimeruka, sasa unamwita mwenzio kilema na shoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee baba alikuwa na akili kama zako lakini yuko wapi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe na shoga yako kilema nyie mtaishi milele!!
 
Binafsi napenda tufanye uchaguzi tena, SSH amejikuta tu kasukumiziwa Ikulu kwa nguvu ya katiba hakuwa chaguo la watz....hivyo msimlazimishe kumvalisha barakoa kama hataki aachwe tafadhali.
Ingawa hata Mtangulizi alisukumwa Ikulu Kikatiba, afadhali huyu maana amejikuta Katiba inamsukuma bila kubebwa na mbeleko ya mtu ili asukumwe huko na Katiba kama Mtangulizi wake ambaye 2025 angebeba mtu wake siyo huyu. Haja ya Katiba mpya badala ya hii ya CCM sasa iko wazi
maana iliyopo inapokea na kutupa Ikulu yeyote anayeletwa na mbeleko ya Mkuu. Thanks to death the leveler!
 
Kaongo sana aka kajamaa, kwaiyo Mungu alimleta ili awatupe watu baharini, alimleta ampige TL risasi, alimleta ili akina azory, ben saa8 wapotee, alimleta ili ainginie wizi wa kura, ili anunue wapinzani??

Ahache kumshirikisha Allah wetu wa upendo ktk maovu ya mwanadamu
Uongo uko wp hapo!!!?
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
Wewe ndiyo mzalendo haswa mwenye uchungu na hii nchi. Great Thinker.

Yote ni tick ila hilo la Corona na Barakoa nafikiri kuna vichwa wendawazimu kabisa.

Wanachojiamini na ugonjwa wa Corona usiotibika kirahisi hasa kwa wenye umri mkubwa na changamoto za afya ya nini hasa? Hata dunia inatucheka mno.

Yaani na pigo lote tulilopata bado hawasikii tuu?

Na huu msiba kwa hakika utaibua phase nyingine kubwa ya Corona maana hata kuaga na barabarani msongamano bila tahadhari. Mahospital wajiandae vyema Ila ni kwa uchungu kuwa maskini akipata corona na matibabu ghali ya Hospital hataweza.

Tumelogwa na nani Tanzania? Uhai haununuliwi.
 
Hivi yale maji ya kiwanda Cha jeshi yapo mtaani? Alikizindua hicho kiwanda kwa kunywa maji yake, do you remember? Ajabu wenzake aliokuwa nao hawakunywa. Mny jr alisema amefunga alipotakiwa na JPM kunywa maji hayo...
Duh!!!!
 
wewe na shoga yako kilema nyie mtaishi milele!!
Mkuu unajiona uko sawa kweli? Nani hatokufa? Unasema mimi na shoga yangu kilema, dah kweli umepigwa za chemba mkuu, kunywa chai lala tu jiwe ndiyo hivyo tena corona ka mcoronea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usalama wamemuacha huyu mama anazagaa hovyo bila barakoa, anashijana mikono na watu.
Yani watu wako busy na mitutu ya bunduki alafu kirusi kidogo sana cha korona kinapenya kirahisi kinaondoa uhai wa viongozi wetu.
 
we na shoga yako mtaishi milele amen!!
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
Baada ya kuaga mwili wa magufuli uwanja wa Taifa tutarajie maambukizi mapya makubwa ya corona kwani watu waliokwenda uwanja wa Taifa hawajavaa barakoa, nao Asikari wanaosaidia watu wanaodondoka wanagusana nao jasho vilio machozi vinawachulizikia wanasambaza kwa kila wanayembeba hapo wanasambaza maambukizi makubwa na huenda uwanja wa Uhuru ukaja kuwa tanuru la maafa makubwa
 
we na shoga yako mtaishi milele amen!!
Kiongozi wa malaika aka mungu wako chali, nasikia corona mliifukuza kwa maombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usalama wamemuacha huyu mama anazagaa hovyo bila barakoa, anashijana mikono na watu.
Yani watu wako busy na mitutu ya bunduki alafu kirusi kidogo sana cha korona kinapenya kirahisi kinaondoa uhai wa viongozi wetu.
Uwanja wa Uhuru sasa ni sehemu kubwa ya maambukizi makubwa Asikari hawana barakoa na waombolezaji hawana barakoa hakuna maji ya kunawa
 
Mbaya zaidi wale wanaosema alimtanguliza Mungu mbele.

Hakuna mtu anaemtanguliza Mungu mbele huku akiua watu, kubambikia watu makesi na kuamuru watu wapigwe risasi. Hakuna.
Hakuna mungu hutangulizwa kwenye kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account zao kuwapora pesa zao
 
Back
Top Bottom