Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

Binafsi napenda tufanye uchaguzi tena, SSH amejikuta tu kasukumiziwa Ikulu kwa nguvu ya katiba hakuwa chaguo la watz....hivyo msimlazimishe kumvalisha barakoa kama hataki aachwe tafadhali.
 
Ndio maana kipo kitengo cha usalama na ni kipana kuliko unavyodhania ni vile mtangulizi wake alikifukia kwa kila alichosema ilikua sahihi mimi niliumia na sikuangalia alipokua anafungua Magu huko stand ya mbezi kipindi wave tuu imepamba Moto kupitia msumbiji na mtwara na wataalanu wetu walitulia kimya wakiaminishwa madudu na kuyakubali...

Nasema usalama wa kiongozi kwanza unaanzia kwake mwenyewe binafsi ndipo unakwenda kwenye kitengo cha usalama.
 
Maneno ya aibu na ya uongo, Kwa usalama wa raisi apo analazimishwa ahache tyrant wake.
After 60 years ya uhuru nchi bado inajengwa?? Asante mwalim
Rais alazimishwi, ni maamuzi yake. Hapa nionacho kaamua kufuata nyayo za mtangulizi wake.
Sivai barakoa. Pia hatoruhusu mikutano hovyo. Nchi bado iko site inajengwa.
 
Binafsi napenda tufanye uchaguzi tena, SSH amejikuta tu kasukumiziwa Ikulu kwa nguvu ya katiba hakuwa chaguo la watz....hivyo msimlazimishe kumvalisha barakoa kama hataki aachwe tafadhali.
Walichaguliwa pamoja na JPM au umesahau mkuu kwa kazi hiyo hiyo incase
 
Nasema usalama wa kiongozi kwanza unaanzia kwake mwenyewe binafsi ndipo unakwenda kwenye kitengo cha usalama.
Ninyi huko mnaisikia tuu corona ndio maana mnakua na majibu hayo tuyaache Mkuu na mmedanganywa corona hakuna bongo basi mnaona poa tuu...
 
2-Image-from-iOS-19-1.jpg

Raisi wetu mpya na mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan chonde chonde vaa Barakoa
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
Ndio mahana Nasema kila siku Magufuli kauliwa na CCM wenxake mchawi yumo ndani wala hatoki nje
 
Acha unafiki haya mambo yote yanayotokea mimi siwezi kuyaamini na wala sitokuja kuamini eti ni corona, kawadanganye wengine, nenda youtube huko kajiangalizie unabii.

Utakuwa unabii wa nabii Tito.

Hiiiiii bagosha!
 
Acha unafiki haya mambo yote yanayotokea mimi siwezi kuyaamini na wala sitokuja kuamini eti ni corona, kawadanganye wengine, nenda youtube huko kajiangalizie unabii.
Kumbe unaamini katika unabii!? We kweli unashida corona ni hatari jua hivyo, walio kuwa karibu na mh. Magufuli tangu kaanza kuumwa wanalijua hili
 
Ndio maana huwa nasema ccm mataga ni mashoga, angalia kaEMOJI kake kwa mwisho kabisa, kabinuka na kupanua kalio, sijui anatutaka sisi mabasha tumfanye nini??

Mashoga tu hawa wanaoliwa daily.
asee unajua siamini kama bavicha watoto wa nyumbu ndo wamedevela hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msnambie mmemsahau yule shoga kilema wa ulaya?

[emoji445][emoji445]ccm ni ileeilee [emoji126][emoji126][emoji1739]ooh ni ileilee[emoji397][emoji2223]
 
Kaongo sana aka kajamaa, kwaiyo Mungu alimleta ili awatupe watu baharini, alimleta ampige TL risasi, alimleta ili akina azory, ben saa8 wapotee, alimleta ili ainginie wizi wa kura, ili anunue wapinzani??

Ahache kumshirikisha Allah wetu wa upendo ktk maovu ya mwanadamu
Akikujibu nishtue
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.

Ushauri mzuri sana huu.
 
Kwa kifupi Magufuli alikua sahihi mama Samia usiturudishe Kule kwa wapigaji.
 
Mimi naamini kwamba Corona ipo Bongo na Magufuli kafariki kwa Corona juu ya kwamba alikuwa na matatizo ya moyo lakini ni Corona ilipandia hapo kwenye ugonjwa wa moyo.
Mimi naamini mnaongea ukweli kuwa Watanzania wajikinge na Corona na Corona ipo ni wazalendo kweli hamtaki kuona kizazi kikiangamia ok poa Mkuu uwe na siku njema..
 
Ili kazi ya Mungu itimie tena?? Ah ah una maneno sana mkuu
Binafsi napenda tufanye uchaguzi tena, SSH amejikuta tu kasukumiziwa Ikulu kwa nguvu ya katiba hakuwa chaguo la watz....hivyo msimlazimishe kumvalisha barakoa kama hataki aachwe tafadhali.
 
Kumbe unaamini katika unabii!? We kweli unashida corona ni hatari jua hivyo, walio kuwa karibu na mh. Magufuli tangu kaanza kuumwa wanalijua hili
Kuumwa na kufariki kwa wasaidizi wake akiwemo balozi kijazi ni ushahidi tosha kuwa corona ndo imeteketeza top layer pale ikulu
 
Back
Top Bottom