Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 513
Hizo zote ni stori tu. Umethibisha?Corona inawaathiri zaidi watu wenye magonjwa ya moyo, kisukari, HIV, wazee, watu ambao kinga za miiki yao ni dhaifu. Kwa mazingira ambayo Rais Magufuli alizoea kuendana nayo ni dhahiri kwamba nafasi ya kuambukizwa corona kwake ilikuwa ni kubwa sana, alijiexpose mno bila kuvaa barakoa nk, akisisitiza tumtegemee Mungu nayeye akaonyesha mfano wa kumtegemea Mungu kupambana na corona bila kuvaa barakoa kwenye mijumuiko, ni kitendo kibaya na cha hatari.
Inakuwaje unamwamini mtaalamu lakini Mungu aliyemuumba mwana sayansi humwani?
Ponder this.