Mama Samia Suluhu Hassan alindwe Afya yake

Kuumwa na kufariki kwa wasaidizi wake akiwemo balozi kijazi ni ushahidi tosha kuwa corona ndo imeteketeza top layer pale ikulu
Namshangaa huyo anaye semaneti unabii youtube yaan watanzania wajinga bado wengi sana aisee ndio maana kiongozi akiingia madarakani anauwezo wa kufanya atakavyo.
 
Mbaya zaidi wale wanaosema alimtanguliza Mungu mbele.

Hakuna mtu anaemtanguliza Mungu mbele huku akiua watu, kubambikia watu makesi na kuamuru watu wapigwe risasi. Hakuna.
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
Umeongea points za muhimu mkuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
asee unajua siamini kama bavicha watoto wa nyumbu ndo wamedevela hivi 😂😂😂😂😂 msnambie mmemsahau yule shoga kilema wa ulaya?

🎶🎶ccm ni ileeilee 💃💃🕺ooh ni ileilee📯🤸‍♂️
Nani katangulia kuiona mauti kati ya gaidi aliyetoa amri ya kuuwawa shoga na yeye aliyekuwa mfalme Juha. Unapigiwa wewe sio bure
 
Kama ni hivyo angeondoka mwaka jana na sio mwaka huu.
Mbona una akili fupi sana. Kwahiyo watu wasingekufa mwaka huu bali mwaka jana, malaria haiwezi kuua mtu mwaka huu kwa vile haikumuua mwaka jana, ajari nayo.

Ndio maana huwa nawapuuza wafia dini, ukiachana na wachungaji ambao sometimes ni matapeli waliobaki wengi wanashikiwa akili, eti twende YouTube tukaone.
 
Kama ni hivyo angeondoka mwaka jana na sio mwaka huu.
Endelea kuota ndoto zako za mchana. Nina uhakika asilimia 100 kuwa Corona ndiyo imetoa uhai wa Magufuli. Mwaka jana alijiongeza akakimbilia Chato na hata hivyo virus wa mwaka huu ni tofauti kabisa.

Yani aliona ameshaishinda Corona kama alivyodhani akaishia kujichanganya bila tahadhari. Wakulaumiwa ni katibu mkuu wa Afya bwana Mabula kwa kumdanganya na kuwadanganya watanzania.

Na ili nchi iende vizuri ni aidha Mabula afe kwa Corona na yeye ama aondolewe ukatibu mkuu wa afya. Kamdanganya mzee wa watu hadi amegharamika uhai wake!
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
11. Ondoa watumishi wafuatao;- Doto James katibu mkuu wizara ya fedha, Dorothy Gwajima, Dr mollel, Katibu mkuu wizara ya afya, Mganga mkuu wa serikali, RC mbeya, Dc Hai, Dc meru, waziri wa elimu, doto Biteko, Balozi wa tanzania nchini Kuwait, safisha tanroads, RC Geita,
 
We are still celebrating demise na kuondoka kwa dictator japo silently as police are raiding on us kutushika.

Jana ninekunywa na kuwanywesha jamaa zangu sana bia kwa furaha, bia zilikuwa zaidi na utamu kutokana na furaha ya mauti ya dictator.

Dictator should go to hell.
leweni ila msisaha kufunga mikanda imara.

marinda ni bidhaa adhimu kwa walevi siku hizi.
 
Nani katangulia kuiona mauti kati ya gaidi aliyetoa amri ya kuuwawa shoga na yeye aliyekuwa mfalme Juha. Unapigiwa wewe sio bure
nauliza hivii huu upendo kwa samia ambae ni ccm na anakwenda kua mwenyekiti wa ccm nyie nyumbu mmeutolea wapi?
 
Hayati Magufuli kaondolewa na Covid19 aliipuuza Pandemic hatari kabisa kuwahi kutokea since 1918 Spanish flu

Akaingiza siasa kwenye Pandemic hao wanaosema Hayati Magufuli kuuwawa na Wachawi wanasema uongo

Sasa wakati umefika wa kuagiza chanjo HARAKA kwa jinsi watu wanavyosongamana wakati wa kuomboleza bila Barakoa wiki chache zijazo hali itakuwa MBAYA MBAYA kwelikweli

Mama Samia VAA BARAKOA!
 
Amani iwe nanyi.

Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.

Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.

Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.

Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha

1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako

2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.

3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.

4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.

5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.

6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.

7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu

8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza

9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.

10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.

Kila la kheri Mama.
Uwe unaandika in brief isichoshe mtu kusoma, utajuaje kama mama yupo humu unaeza ukaula wiazara ya nanii
 
Hayati Magufuli kaondolewa na Covid19 aliipuuza Pandemic hatari kabisa kuwahi kutokea since 1918 Spanish flu

Akaingiza siasa kwenye Pandemic hao wanaosema Hayati Magufuli kuuwawa na Wachawi wanasema uongo

Sasa wakati umefika wa kuagiza chanjo HARAKA kwa jinsi watu wanavyosongamana wakati wa kuomboleza bila Barakoa wiki chache zijazo hali itakuwa MBAYA MBAYA kwelikweli

Mama Samia VAA BARAKOA!
hatuwezi fanya huo ujinga.

ufipa mtaifata ubelgiji kwa juke mkimbizi mwenzenu.
 
muelekeo wa samia kiuongozi unaanza kuwapa taswira mapema kabisa hasa kwenye msimamo juu ya janga la corona.

UFIPA na CCM asilia mnatakiwa kuanza kutafakari upya juu ya furaha mliyo nayo.
Tunamshauri ASIFARIKI! wala sio vingine
 
Nenda kajiunge nae Kama sio adhabu machoko nyie. Mnadhani Mungu ni Mangula mpaka avumilie wehu wa mwenyejiti wenu mfalme Juha...
sio adhabu ndio maana hata wewe kenge wa mtaroni utakufa tu,ukiwa hujafanya kosa lolote kwa muumba.
 
Back
Top Bottom