Atakaye iokoa nafsi yake ataiangamiza...haya siyo maneno ya Magu!Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.
Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.
Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.
Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha
1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako
2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.
3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.
4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.
5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.
6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.
7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu
8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza
9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.
10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.
Kila la kheri Mama.
Endelea kutovaa barakoa siku ukifa na ndugu zako mkiwa motoni ndipo mtajutia kuwa kutovaa barakoa ulikuwa uamuzi wa Hatarikubaka barakoa ni ujinga ndio,maana inapunguza ufanisi wa kupumua.what if una matatizo ya moyo!!!!!
mme wenu na shoga ako anajua?Kiongozi wa malaika aka mungu wako chali, nasikia corona mliifukuza kwa maombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya week mwezi tutashuhudia majanga makubwa watu watakufa kwa wingi baada ya kuambukizana hapo uwanja wa UhuruWewe ndiyo mzalendo haswa mwenye uchungu na hii nchi. Great Thinker.
Yote ni tick ila hilo la Corona na Barakoa nafikiri kuna vichwa wendawazimu kabisa.
Wanachojiamini na ugonjwa wa Corona usiotibika kirahisi hasa kwa wenye umri mkubwa na changamoto za afya ya nini hasa? Hata dunia inatucheka mno.
Yaani na pigo lote tulilopata bado hawasikii tuu?
Na huu msiba kwa hakika utaibua phase nyingine kubwa ya Corona maana hata kuaga na barabarani msongamano bila tahadhari. Mahospital wajiandae vyema Ila ni kwa uchungu kuwa maskini akipata corona na matibabu ghali ya Hospital hataweza.
Tumelogwa na nani Tanzania? Uhai haununuliwi.
Ni CORONA,na hata kama unabii ulikuwepo basi CORONA ndiyo imekuja kuukamilisha. Isingekuwa CORONA Jambo jingine lolote lingeweza kuutumiza unabii huo.Acha unafiki haya mambo yote yanayotokea mimi siwezi kuyaamini na wala sitokuja kuamini eti ni corona, kawadanganye wengine, nenda youtube huko kajiangalizie unabii.
Haswa. Yaani sijui ni usugu gani umetupata kuhusu uhai. Uzuri mmoja sisi ambao familia za ndugu zetu, majirani na marafiki zimeguswa na Corona tunajua maana yake.Baada ya week mwezi tutashuhudia majanga makubwa watu watakufa kwa wingi baada ya kuambukizana hapo uwanja wa Uhuru
Nilichofanya kwa muumba ni kufanya maombi maalumu mpaka kenge wenu wa mtaroni Leo yupo kwenye friji kama Bia....nyambafu nyie na bado tunaendeleza maombi mpaka tuwashikishe ukuta wote nzi wa kijani nyiesio adhabu ndio maana hata wewe kenge wa mtaroni utakufa tu,ukiwa hujafanya kosa lolote kwa muumba.
kwamba maombi yako yamejibu au sio!!!!sasa mbona huyo mungu wako choko kama wewe amefanya kazi ambayo haiwezi,maana mwisho nawewe utakufa tukuweke kwenye mfuko tu wala sio fridge ukiwa huna linda hata moja,asijue anakusaidia vipi????Nilichofanya kwa muumba ni kufanya maombi maalumu mpaka kenge wenu wa mtaroni Leo yupo kwenye friji kama Bia....nyambafu nyie na bado tunaendeleza maombi mpaka tuwashikishe ukuta wote nzi wa kijani nyie
Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.
Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.
Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.
Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha
1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako
2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.
3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.
4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.
5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.
6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.
7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu
8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza
9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.
10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.
Kila la kheri Mama.
Mmh. HatariKiongozi wa malaika aka mungu wako chali, nasikia corona mliifukuza kwa maombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwamba maombi yako yamejibu au sio!!!!sasa mbona huyo mungu wako choko kama wewe amefanya kazi ambayo haiwezi,maana mwisho nawewe utakufa tukuweke kwenye mfuko tu wala sio fridge ukiwa huna linda hata moja,asijue anakusaidia vipi????
kanyanduane huko na huyo mungu wako,anayekuaminisha kifo ni adhabu,kenge wahedi.
Uwanja wa Uhuru sasa ni sehemu kubwa ya maambukizi makubwa Asikari hawana barakoa na waombolezaji hawana barakoa hakuna maji ya kunawa
Wasipopenda kuvaa barakoa watavuna wanachopanda.Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.
Sote tumeona jinsi gani corona ilivyopiga top layer ya Magufuli kutokana na watu kujitoa tu ufahamu na kupuuzia tahadhari za msingi na kitaalamu. Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.
Ni wakati sasa Mama yetu alindwe afya yake Kwa sababu nae ni mtu mzima (above 60). Apewe barakoa kwenye mikusanyiko na asiruhusiwe kushikana au kusogeleana na mtu. Walinzi wake nao wawekewe utaratibu maalumu wa kuepuka kupata maambukizi ili wasimuambukize.
Mwisho nitoe pongezi za dhati Kwa Rais wetu wa sita, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa kifupi ushauri wangu kwako kwenye maeneo ya kubadirisha na kurekebisha
1. Endelea kuanzia pale alipoishia JK kwenye uwekezaji na biashara. Wawekezaji na uwekezaji ndo vipewe kipaumbele cha kwanza kwenye sera zako za uchumi. Kamwe usiruhusu wawekezaji wapate madhira na unyanyasi waliopata kipindi cha msaidizi wako
2. Rekebisha sekta ya utoaji Haki. Ondoa unyanyasi mkubwa uliogubika sekta hii kwenye utawala wa Mtangulizi wako. Waliohusika watoe wote na weka wapya wenye mawazo na mlengo wa kuhudumia watu kwa haki na wala sio kwa uonevu.
3. Kwenye mipango miji na ardhi. Wekeza sana kwenye upimaji wa ardhi na mipango miji. Rekebisha uchafu ulioenea kwenye miji yetu. Wamachinga wasinyanyaswe ila wawekwe kwenye maeneo yenye mzunguko wa watu na kuwekekewa mazingira mazuri ya biashara huko.
4. Ondoa tatizo kubwa la ukabila na ukanda lililokuwa limeifunika nchi. Najua wajua kuwa kuna watu walishajimililisha hii nchi.
5. Miradi ya Umeme ( Stigglers) na Treni(SGR) imalizie Ila hakikisha mradi mkubwa wa Kiuchumi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza maana hii ndo itakuwa mlango wa Tanzania kutoka kiuchumi.
6. kwenye ulinzi na usalama hatujawai kuyumba hapo tupo vizuri ila ondoa wanasiasa kuvitumia vikosi vyetu vya ulinzi na usalama kwa maslahi yao.
7. Usiruhusu Biashara yeyote kufungwa Kwa sababu ya madai ya kodi. Iboreshe na kuifumua positively TRA. Wajikite kuwa taasisi rafiki na wafanyabiashara na wala sio kikwazo cha biashara na uwekezaji. Pia taasisi nyingine za serikali zinazohusika na biashara na wafanyabiashara wapewe maelekezo kuwa sasa rasmi wawe wafanikishaji no 1 wa biashara na uwekeaji ili kutengeneza ajira nyingi kwa vijana wetu
8. Kwenye nishati na madini boresha zaidi na ondoa mkanganyiko na misuguano na wawekezaji. Sheria tulizotunga mwaka 2017 sio mbaya ila ifanywe harmonization kuepuka migogoro na makesi na wawekezaji. Ongeza uwazi zaidi kwenye sekta hii na hakikisha miradi mikubwa ya gesi inaanza
9. Mahusiano ya Kimataifa. Hapa mtangulizi I wako aliharibu sana. Boresha sana eneo hili wala usiliache nyuma. Hapa unaweza pata hela nyingi na ukazifanyia mambo makubwa sana kwa usimamizi mzuri utakaouweka.
10. Weka uhuru wa vyombo vya habari na raia kwenye kutoa maoni. TCRA wajikite kuboresha biashara ya mawasiliano na telnolojia na wasiwe chombo cha kufikisha watu mahakamani na kunyima watu uhuru wao wa mawazo. Wawe regulatory authority.
Kila la kheri Mama.
Was it corona or an heart attack?Ni CORONA,na hata kama unabii ulikuwepo basi CORONA ndiyo imekuja kuukamilisha. Isingekuwa CORONA Jambo jingine lolote lingeweza kuutumiza unabii huo.
BothWas it corona or an heart attack?
MmhBoth
Nilikua sijui. Ok.Both