Mama ni mgonjwa

Mama ni mgonjwa

Habar wa mmu.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani.Alichomwa na kitu mguuni wik 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda.Kapimwa magonjwa mengi lakin hamna kitu......leo roho imeniuma coz mguu umeanza kutoa harufu na tena ukijan umeanza.
Naumia sana....nahitaji maombi yenu anaitwa Vicky

pole sana.dalilli hizi ni km za mama yangu alichomwa na kit ambacho hatukujua ni nini akapata km unavyosema.tukaenda Hosp kumbe ana kisukari.muwahisheni haraka Hosp na atapona .ila sisi mama yeti tulimpa pia dawa za asili sio dhambi maana tumeambiwa ktk dini miti na matunda ni dawa.sukari yake ilikuwa zaidi ya ishirini salsa hivi iko normal kabisaa. bila Ku control sukari kidonda inakuwa vigumu kupona.mzizimkavu pls msaidie miss strong. usisahau pia kumpeleka ktk maombi
 
Ana historia ya sukari..!? Walipima hiyo..?! Vipimo mlifanya wapi..?!
 
pole sana miss strong kwa kuuguliwa na mama usijali Mungu wetu ni mwema atamponya, kama alivyokuambia
mchangiaji mmoja hapo juu mkajaribu kumpima na kisukari pia.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana mamy, mungu ataongoza na atatenda wema mama atapona, lakini mmeenda hospital zipi? labda pia mngejaribu hospital tofauti tofauti, Kila la kheri dear
 
Mungu ampiganie mama aweze kupona jaman mama yetu nimeumia jaman fanya hima mama apate matibabu stahiki kabla tatizo halijawa kubwa mungu ni mwema cku zote pole sana
 
Kilichomchoma hasa hata yeye ana hisi kati ya jiko o chelewa....
Alianza kutibiwa nearby hom hapa Massana hosptl na baadae lugalo ambapo alikuwa anachomwa sindano za powercef.
Sasa sielewi hapo ni nini haswa
Nenda hapo hosp walipoelekeza wengine nina wasiwasi na hio sindano alochomwa haikuchanganywa inavyotakiwa(Inatakiwa ichanganywe na calsium solutions and must be given within 48hrs)au haikuwa sterile!
 
mwamini Mungu mshike mamako mguu umwombee mwenyewe. kuna kitu mungu anataka kukufundisha.
 
Pole sana dada jaribu kucheki hizo zote mbili kama ni kisukari au cheki na kansa kuhusu hivyo vidonda coz muda mwingine inaanziaga hivyo
 
Kuna prof mmoja wa sua anatibu kansa kwa kukausha vidonda anaitwa prof mnyuku kama sijakosea ila contact zake nimepoteza watu wa sua kama food engineer wanaweza kutusaidia
 
Pole sana pia mtafute mzizi mkavu anaweza kukusaidiaa
 
Back
Top Bottom