jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
miss strong ushauri aliokupa Mwanawalwa mi naamini mtafanikiwa inshaallah! poleni sana jamani.
Last edited by a moderator:
Habar wa MMU.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani.
Alichomwa na kitu mguuni wiki 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda.
Kapimwa magonjwa mengi lakini hamna kitu......leo roho imeniuma sababu mguu umeanza kutoa harufu na tena ukijan umeanza.
Naumia sana....nahitaji maombi yenu anaitwa Vicky