Mama ni mgonjwa

Mama ni mgonjwa

Habar wa mmu.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani.Alichomwa na kitu mguuni wik 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda.Kapimwa magonjwa mengi lakin hamna kitu......leo roho imeniuma coz mguu umeanza kutoa harufu na tena ukijan umeanza.
Naumia sana....nahitaji maombi yenu anaitwa Vicky
Pole Sana mdogo wangu duh !!!God bless you
 
Asante.....huwezi amin toka arud mpk sasa hv sijafumba macho.Nashukuru Mungu pamekucha,saa 10 ss hv...tujue wapi pakupuyangia.
Analala ila wakati mwingine namuona ananichungulia kwa huruma.....basi kuna donge linanishika rohon km nakabwa.
 
Pole sana kalumbu!
Mpime Mama blood glucose level yake kwanza! Maelezo yako likely white blood cells hazijaenda kuponyesha pale alipo jichoma na hii inawezekana sababu ya blood flow sio nzuri!
 
Ndagha gwa myetu....!!!
Nashukuru Mungu siku imegeuka....imekuwa leo coz shida hii imenifanya kuona usiku mrefu.Mungu anionenyeshe sehemu sahihi ya kwenda
 
Yuda tena
Hahaaaaa! (Its not a lauhjing matter) Yuda Tadei jst incase umedhani ni Yuda Escariot. Lol. Wewe si unataka maombi? Basi tulia. Hii sala mwisho wa matatizo na ubishi ikienda hairudi hivi hivi.

Kuna mtu ogidini kwao maboss tu ndo walitakiwa waende kwa madiba refresher course. Yeye ni juniou senior flani, akasali hii sala potelea pote aende yeye na si bosi wake. Amini usiamini Mkurugrenzi alimrecomend kama utani na kukomalia anatska aende huyo mdau si bosi. Bosi kavimba wee, kabana kaachia. Keshajirefresh ndo karudi siku si nyingi. CHEZEA SALA YA MIUJIZA WEYE!?
 
Pole sana, Mungu yupo atamponya.

Pole sana mpendwa kweli kuna mdau amekushauri ucheki diabetes. Hata mimi nashauri hivyo, I'm telling u out of experience dear, my mom had stroke n she's diabetic nowadays. I can imagine what u r coin thru. Mungu akutie nguvu.
 
Pole. Kama upo dar nikuekeze kwa mama aliyepata tatizo kama hilo na akaponea tumbi hosp. Atakupa jina la dot wake
 
Hahaaaaa! (Its not a lauhjing matter) Yuda Tadei jst incase umedhani ni Yuda Escariot. Lol. Wewe si unataka maombi? Basi tulia. Hii sala mwisho wa matatizo na ubishi ikienda hairudi hivi hivi.

Kuna mtu ogidini kwao maboss tu ndo walitakiwa waende kwa madiba refresher course. Yeye ni juniou senior flani, akasali hii sala potelea pote aende yeye na si bosi wake. Amini usiamini Mkurugrenzi alimrecomend kama utani na kukomalia anatska aende huyo mdau si bosi. Bosi kavimba wee, kabana kaachia. Keshajirefresh ndo karudi siku si nyingi. CHEZEA SALA YA MIUJIZA WEYE!?

Asante.....Mungu atusikie sala zetu
 
Pole sana mpendwa kweli kuna mdau amekushauri ucheki diabetes. Hata mimi nashauri hivyo, I'm telling u out of experience dear, my mom had stroke n she's diabetic nowadays. I can imagine what u r coin thru. Mungu akutie nguvu.

Asante.....sala yako ni muhimu.Nashukuru kwa faraja
 
Atakua alipata infection tu,hospital zetu na vipimo vya kulipualipua waweza kudai hawaoni kitu.
 
Back
Top Bottom