Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,577
Dah! nilishashuhudia hii kitu kwa mtu wangu wa karibu anijuze aliponea hospital au kwenye tiba asili? maana alitumia zote na akapona, ni kama copy n paste ya tatizo la bi mkubwa wako.
Pole sana.. Ila unavyosema nlijua mmefika hospitali kubwa..mjitahidi basi muende hospitali kubwa kuna vipimo zaidi hasa vya mishipa ya damu ya miguuni dopple ultasound na hata angiogramx .... Unaweza kukuta amepata DVT (periferal arterial desease) maana minor injury kama kuchomwa na kitu inaweza kusababisha ukakuta akipata clopidogel, cumadin( warfarin) na matibabu mengine mambo yanakua mazuri .. Muhimbili wanafanya na pia ni vzr aonane na specialist.. Pole sana try to do the needful miss strongHana historia hiyo kwa maana hatujawah kumpima......vipimo kafanya Lugalo
Pole sana.. Ila unavyosema nlijua mmefika hospitali kubwa..mjitahidi basi muende hospitali kubwa kuna vipimo zaidi hasa vya mishipa ya damu ya miguuni dopple ultasound na hata angiogramx .... Unaweza kukuta amepata DVT (periferal arterial desease) maana minor injury kama kuchomwa na kitu inaweza kusababisha ukakuta akipata clopidogel, cumadin( warfarin) na matibabu mengine mambo yanakua mazuri .. Muhimbili wanafanya na pia ni vzr aonane na specialist.. Pole sana try to do the needful miss strong
Dah! nilishashuhudia hii kitu kwa mtu wangu wa karibu anijuze aliponea hospital au kwenye tiba asili? maana alitumia zote na akapona, ni kama copy n paste ya tatizo la bi mkubwa wako.
Pole sana.. Ila unavyosema nlijua mmefika hospitali kubwa..mjitahidi basi muende hospitali kubwa kuna vipimo zaidi hasa vya mishipa ya damu ya miguuni dopple ultasound na hata angiogramx .... Unaweza kukuta amepata DVT (periferal arterial desease) maana minor injury kama kuchomwa na kitu inaweza kusababisha ukakuta akipata clopidogel, cumadin( warfarin) na matibabu mengine mambo yanakua mazuri .. Muhimbili wanafanya na pia ni vzr aonane na specialist.. Pole sana try to do the needful miss strong
I ment DVT as one and common peripheral arterial diseases.. and its also common in pin point injuries.. through cellulatis inaweza inaweza kuwa na posibity coz infection can start from skin, lympatics to blood vesels lkn with clinical fetures it more rapidly, serious n coz of bacteria infection sometimes fever is very high..ila nadhani wangesha diagnose huko kote walipopita akienda muhimbili itamsadia zaidi.. Surely they will dx herDVT..peripheral arterial dss, seriously??
why not think along the lines of cellulitis?
Nashukuru kwa ushauri Dr.....Mungu akubariki