Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,596
- 870,256
Siyo uungwana 🙂↕️Ndiyo kwani cha ajabu nini
Tena akaombana kurudia, aseme kwa mara ya pili.Na pale mwisho kabla ya kumaliza na kuanza kulia kwa hisia huku aakisema ...usipimwe kwa vitu bali tabasamu la watanzania.. machozi yakamtoka
Oya D9
Uko sahihi, acha tuone kama yatatekelezwa!Kaongea Kamaliza Tusubir Utekelezaji Ndiyo Kipimo Sio Wing Wamakofi Bungen
Sio Mtabiri Ila Mengi Aliyoongea Miaka Mitano Itamuhukumu
Macho yangu maandishi makubwa yananiumiza macho nasoma kwa tabu sana..Tena akaombana kurudia, aseme kwa mara ya pili.
PS:
Kwanini unaandika kwa vimaandishi vidogo? sisi wazee tunapata shida kusoma.
Ulisikia wapi? Ukiambiwa nje kuna mvua toka ukahakikishe km kweli inanyesha... ni kuutuliza upepo kwa muda tu kisha yanaendelea yaleyale yasiyotakiwaUko sahihi, acha tuone kama yatatekelezwa!
Bei ya asubuhi, mapema tu, unaweza kujikuta kwenye karandinga unawahishwa Dodoma 😔Na hawachek na kima Hawa ma mwamba. Siku hizi kuuziwa uhaini imekuwa bei cheap sana😄
Labda anawapa pole hao watu kutoka nje.Anajikosha sana huyu Mwanamama, mwanzo alisema hakuna mauaji na waliyo fanya vurugu walikua ni watu kutoka nje then Leo anatoka front kutoa pole!! Ya nini? Na kwa wakina nani?
Hili ni kweli kabisa, inabidi ijulikane nani yuko kwenye hiyo tume na ikiwezekana iwe huru inayohusisha taasisi za kimataifa pia. Mashaka ni mengi, isije ikawa tume ya uchunguzi ni jeshi la polisi 🤔Hiyo hotuba yake sijaona kitu Cha msingi chenye mantiki alicho ongea.
Kuhusu uchunguzi ni uongo... Mtuhumiwa hawezi jichunguza... Na hizo tume anazo sema anaunda kila siku hatuoni positive impact yake tangu Kuawa kwa Mzee Kibao sijawai ona hizo tume zinatoa ripoti.
Binadamu ni mchanga, ahDunia tunapita eeeh...
Kila kitu kitabakiaaa....
Binadamu ni mchangaaa..🎵🎶🔊
ASee Kuna member hum huwa comment zake ni kujifunza kunyamanza Kuna siku nikamkumbuka. Ila sema nn hatuweza kunyamanza woteBai ya asubuhi, mapema tu, unaweza kujikuta kwenye karandinga unawahishwa Dodoma 😔
Hakuna kinachoeleweka alichokisema?Anaendeleza siasa tu