Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

Anajikosha sana huyu Mwanamama, mwanzo alisema hakuna mauaji na waliyo fanya vurugu walikua ni watu kutoka nje then Leo anatoka front kutoa pole!! Ya nini? Na kwa wakina nani?

Hiyo hotuba yake sijaona kitu Cha msingi chenye mantiki alicho ongea.

Kuhusu uchunguzi ni uongo... Mtuhumiwa hawezi jichunguza... Na hizo tume anazo sema anaunda kila siku hatuoni positive impact yake tangu Kuawa kwa Mzee Kibao sijawai ona hizo tume zinatoa ripoti.
 
Kaongea nonsense, moyo wangu una hasira kali dhidi yake.
Ni vile sina mamlaka makuu katika dunia hii.
Pole kwa hasira na maumivu.
Ila ndani ya moyo wangu nimemchukia milele.

Simtambui kama Rais na soon ataondoka katika nafasi hiyo
Ungependa aondoke aje nani? je tatizo ni yeye kama raisi au ni mifumo ya kisheria na kiutawala ambayo inamuwezesha yeye kutenda yale anayoyafanya?
 
Yaaani kwa haraka haraka nikajua uzi wa mambo yetu yale kumbe ni mama sijui..😂😂😂😂😂😂

Daaah nimechoka ngoja Nikatoe makopa kopa kule
Tulia 🤣 tuko bize na maswala ya kitaifa kwanza.

Vipi hotuba ya raisi wako hujasikiliza?
 
Pole kwa hasira na maumivu.

Ungependa aondoke aje nani? je tatizo ni yeye kama raisi au ni mifumo ya kisheria na kiutawala ambayo inamuwezesha yeye kutenda yale anayoyafanya?
Akiomdoka yeye, kabla hajaja mwingine mifumo itawekwa sawa kutokana na makosa mengi yaliyoonekana kwenye mgumo hivi karibuni.

Mfumo ukiwa sawa, tunaweza ongozwa hata na kichaa na kila kitu kikawa sawa.

Mfumo ukiwa wa hovyo hata umfufue einsten aje kutuongoza, bado tutakuwa katika maumivu yaleyale.

Lakini narudia, Maumivu aliyoyasabababisha huyu bibi mioyoni mwetu hatutamsahau kamwe, hasa mimi.
 
Back
Top Bottom