Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

Akiomdoka yeye, kabla hajaja mwingine mifumo itawekwa sawa kutokana na makosa mengi yaliyoonekana kwenye mgumo hivi karibuni.

Mfumo ukiwa sawa, tunaweza ongozwa hata na kichaa na kila kitu kikawa sawa.

Mfumo ukiwa wa hovyo hata umfufue einsten aje kutuongoza, bado tutakuwa katika maumivu yaleyale.
💯facts
Lakini narudia, Maumivu aliyoyasabababisha huyu bibi mioyoni mwetu hatutamsahau kamwe, hasa mimi.
Pole sana, wewe binafsi amekusababishia maumivu gani?
 
Ni huzuni!
Japo ni ngumu na inaweza kuwa ni aibu ya kihistoria, Samia angekubali tu kujiuzulu ili kila mtanzania ataishije vinginevyo atarajie kuona miaka mitano migumu sana yenye upinzani ndani na nje ya serikali.
Huu utakua utawala mgumu sana, unanikumbusha kipindi cha pili cha Mkapa.
Ila acha tuone itakuwaje!
 
1. Report ya mauaji ya Mzee Kibao
2. Wote waliochukuliwa mateka warudi wakiwa hai
3. Kesi zote za viongozi wa upinzani zifutwe
Kama haya hakuna.......
Mapendekezo mazuri japo Samia hakutaja hata moja kwenye hii hotuba yake.
Acha tuone utekelezaji wa yale aliyosema.

Labda DPP atamfutia kesi Lissu pia na yatajirudia yale yale ya Mbowe.
 
Ni ngumu sana kujisafisha hasa kwa namna mambo yalivyo, itachukua mda kidogo maumivu na vidonda kupona, aendelee kufanyia kazi mambo ya msingi.
Ni kweli kwa hapa watu walipofikia, inahitajika jitihada kubwa sana kurudisha mambo yakae sawa.
Muda utasema, acha kwa sasa tuone utekelezaji wa haya madogo ya awali.
 
Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.
Kama ambavyo wameua watu na wao wanatakiwa kuuliwa hawa.Kwa kuanza iwe ni watoto wao.
 
Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.
Kama ambavyo wameua watu na wao wanatakiwa kuuliwa hawa.Kwa kuanza iwe ni watoto wao.
Hilo la watoto wao na familia zao mimi napinga.
Aliyekosa awajibishwe yeye mwenyewe na siyo watu wasiohusika!
 
sisi vijana wa sasa sjui tumekumbwa na nini kama babu yetu mzee kinjekitile ngwale au mzee mkwawa aliweza kujipambania na enzi hizo hkn modern tools kama sasa no vpn, internet lkn alionesha ukomavu vp sisi wenyewe tunatambua

kwamba kikwete ni mzee anayezeeka vbya kwa kubagaza mali za umma,utekaji wa cc kwa cc bado upo tunashindwa kuchukua hatua,tukijarb hilo wanatokea vjana rika letu wana push ajenda za gavoo,hii inanitafakarisha sana
Hata waliokuwa wanauza watumwa kwa waarabu ni watu weusi tena wanavijiji kabisa.

Hakuna jipya mkuu.

Bado khna kundi dogo sans linaamini kupita huyu mama watamake it in life.

But Mo29. Imepunguza hata kujisifia hadharani. Sasa wako mitandaoni tu
 
Ukivuliwa nguo jitie dole unuse, hii ndio tafsiri yao majuha wanaotuona majuha.
giphy.gif

Yani yatuuwe halafu kirahisi tu waje na ngonjera.
Siyo sawa ❌
 
Kaua watu wetu lazima awajibike, maandamano palepale, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, jeshi la police lifumuliwe liundwe kwa sheria mpya na sio kutumikia wanasiasa na police wawajibike kwa mauaji waliyofanya
Uwajibishwaji ni lazima, nguvu na brutality iliyotumika haiwezi kukubalika kama kitu cha kawaida.
 
sisi vijana wa sasa sjui tumekumbwa na nini kama babu yetu mzee kinjekitile ngwale au mzee mkwawa aliweza kujipambania na enzi hizo hkn modern tools kama sasa no vpn, internet lkn alionesha ukomavu vp sisi wenyewe tunatambua

kwamba kikwete ni mzee anayezeeka vbya kwa kubagaza mali za umma,utekaji wa cc kwa cc bado upo tunashindwa kuchukua hatua,tukijarb hilo wanatokea vjana rika letu wana push ajenda za gavoo,hii inanitafakarisha sana
Labda pia ni busara kupunguza spidi na kujitafakari "mnakwama wapi" je wote mna hoja sawia? mna mikakati ya kushinda?

Nafikiri hapo kwenye kujipanga, kujiandaa na kua na kiongozi mwenye sauti ndipo wazee uliowataja wamewazidi.
 
Hapo alikuwa anajikosha kwa aibu! Nafsi inamsuta kwa mauaji ya kinyama kama yale! Hizo ahadi zote ni nyimbo zile zile za uongo za miaka nenda rudi.
Bado anafikiri Watanzania watasahau wapendwa wao waliokufa!
Harafu anawaza kuwa kwa kuwa tayari ametawazwa kuwa rais ni garantii ya kumaliza miaka 5!
Mkuu nafsi haimsuti hata robo, na akipata nafasi ya kurudia trust me atafanya vile vile. Shida ni kelel zenu zinaelekea kutia mchanga kitumbua chake.
 
ASee Kuna member hum huwa comment zake ni kujifunza kunyamanza Kuna siku nikamkumbuka. Ila sema nn hatuweza kunyamanza wote
Sawa nyie endeleeni kupiga kelele ila tahadhari lazima maana hujui watakuotea wapi.
 
Back
Top Bottom