Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,963
- 36,419
- Thread starter
- #101
Natumai taarifa imewafikia
Natumai taarifa imewafikia
Muda utasemaKama sio blah blah za kisiasa basi ni mwanzo mzuri. Wacha tuone.
Ndio ujue nchi imefikia wapi.Maneno mazito kijana 🙃
Tusubiri utekelezaji, awawajibishe wakuu wake wa mikoa pia hasa huyu wa Dar, aliudanganya umma kua hali ni shwari, hakuna vifo ilhali hali ilikua tete.Muda utasema
Swadaktaaaaa!!
Kwanini oct.9 waliua mpaka watoto??Hilo la watoto wao na familia zao mimi napinga.
Aliyekosa awajibishwe yeye mwenyewe na siyo watu wasiohusika!
Ndiyo maana nilisema lazima wawajibishwe.Kwanini oct.9 waliua mpaka watoto??
Unayajua maumivu mwanao mdogo afe kwa kupigwa risasi?
Binafsi nimeumizwa Sana na mauaji ya Oct 9! Wanamiminia raia wenye mawe risasi za Moto kwa lengo la kuwaua??????Ndiyo maana nilisema lazima wawajibishwe.
Ila tukisema lazima tukalipize kisasi na wao tuwaulie watoto wao na sisi tutakua tumekosea tu kama wao walivyokosea.
Kiukweli sijapoteza muda wangu kumsikiliza, ila kwa juu juu uliyoqndika, naona anaruka ruka tu, jambo liko wazi watu hawamtaki, lakini kwa mauaji haya muwajibikaji namba 1 ni mkuu wa nchi, asizunguruke.Hakuna kinachoeleweka alichokisema?
Nasikia kafunga comments huko TWITTERMkuu, hakuna hata moja ambalo limekugusa?
Hana ujasiri wa kuziacha on, hasira za watanzania hawezi kuzimudu.Nasikia kafunga comments huko TWITTER
hili la kuunda wizara ya vijana na kumteua makonda awe waziri? no ni kuhadaa vijanaMkuu, hakuna hata moja ambalo limekugusa?
Kama atakua Makonda basi wizara imefeli kabla haijaanza 😲hili la kuunda wizara ya vijana na kumteua makonda awe waziri? no ni kuhadaa vijana