Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia.
Watu wameenda mbali...
HOJA YA MWANZO: Tume haina jipya… CCM kaeni na Chadema…
1: Tume hii haitakuwa na jipya kwa sababu ni tume ya kufunika ukweli, si kuutafuta.
Hakuna tume inayoundwa na mtuhumiwa na ikaweza kutoa majibu ya kweli.
Huwezi kuwa kiongozi wa tukio, mshukiwa wa kosa, mwigizaji wa tukio, halafu ujiteue...
Nimesikiliza hotuba ya raisi akifungua rasmi bunge la 13 na nimeona ni kama ameanza kuinama na kujisitiri kutokana na yale yaliyotokea.
Je, ili achutame kabisa kiungwana na kuepuka fedheha inabidi afanye nini?
Kwa wenzangu mliosikiliza hotuba: je imewatia moyo au ndiyo imewaongeza hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.