Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA).
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
Anonymous
Thread
interns
kazi
malipo
mwezi
nje
ofisi
posho
serikalini
tanapa
ttb
wakati
walipwe
wanaojitoleaserikalini
My Take: Naunga mkono hoja na jambo Hilo lisiishie kwenye kada ya Afya na Elimu tuu Bali lifike na kwenye kada zingine.
Faida zake
1. Utapunguza uhaba wa Watumishi
2. Utapata Watumishi ambao tayari Wana uzoefu na kazi
3. Ni njia ya Mazoezi Kwa vitendo Kwa Watumishi Tarajali
4. Ni njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.