Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,259
- 5,348
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Unamjua DAB? Fuatilia vizuri utajua kuwa kuna watu wako juu ya sheria
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Ndio maana barabara zetu ziko jinsi zilivyoMimi ni mwalimu wa hili somo kwa wahandisi wa barabara.
Nimehama Tanzania. Sasa hivi nafundisha hili somo Marekani.Ndio maana barabara zetu ziko jinsi zilivyo
Mkapa hawezi kufanya ujinga huo. Anajitambua. Mkapa anao walinzi.Kwani hawa askali awakimuona dreva yuko ndani? Ata awa askali awawezi tambua uyu ni kiongozi waserekari msitaafu japo wakamheshimu! Ivi ingekuwa ni mzee mkapa wangemtendea ivyo? Au angekuwa mzee pinda au labda mwl nyerere Mungu amlaze pema peponi wangemtendea ivyo?.
Ahsante DaudiInawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Na kweli matapeli majizi wanatembelea magari mazuri sijui wanayaazima yard za kuuzia magariJe kama ingekuwa gari linasubiri majambazi? watu wangesema hawafanyi kazi zao kupunguza majanga... huyo kuuliza sijui kama wanajua yeye nani hapana.. tabu pia video zipo vipande vipande hatujaona walikuwa wameanzaje hadi ikafikia hapo..
Ila ningekuwepo hapo ningekimbia, huo mtutu unatisha.
Polisi wangewahoji mashuhuda tujue kwanini alitumia bunduki yake..akiwa polisi amefanya kosa nae alipate ikiwa waliongeleshwa vizuri wakakataa basi nao wafunzwe.
Majambazi wengi sana siku hizi na wanatumia njia hizo hizo kama vile wao watu wana pesaa magari mazuri kumbeeeee ni hatariiiii
(Mods mnaunga threads, niliyoandika naona hayaendani na uzi mliokuja kuunganisha..bora kuanza kumquote mleta mada ieleweke tu...ndio maana kuchangia uzi kunaboaaaaaaaaaa)
So umeangalia hiyo clip na umeona sehemu wameandika "no parking" au umeamua tu kujitoa ufahamuHeri usiandike chochote kuliko kupotosha watu.
Alama za babarani ziko wazi sana.
Unapotoshaje watu kuwa mtu anaruhusiwa kuegesha gari kwenye alama ya "no parking"?
Na kama unaamini huo ndo ukweli, basi matatizo yako ni makubwa sana kuliko nilivyotarajia.
Eti "obstruction of justice"??? What "justice" are you referring to? Hii labda umesikia tu CNN au NYPD Blue lkn huelewi maana yake. The concept doesn't apply here. Obstructing a law enforcement officer would have been more appropriate in this situation.
Mkuu nenda pale ngome upanga ukapaki gari halafu akija millitary police muulize mbona hamna alama ya no parking pengine itakuwa mwisho wa uhai wako......mbonasheria za tanroads ziko so clear angalia tafsiri ya neno hifadhi ya barabara.Heri usiandike chochote kuliko kupotosha watu.
Alama za babarani ziko wazi sana.
Unapotoshaje watu kuwa mtu anaruhusiwa kuegesha gari kwenye alama ya "no parking"?
Na kama unaamini huo ndo ukweli, basi matatizo yako ni makubwa sana kuliko nilivyotarajia.
Ndo maana nikamwambia asitupotosheMkuu nenda pale ngome upanga ukapaki gari halafu akija millitary police muulize mbona hamna alama ya no parking pengine itakuwa mwisho wa uhai wako......mbonasheria za tanroads ziko so clear angalia tafsiri ya neno hifadhi ya barabara.
Goes to show, this particular case has to do with "obstructing a police officer" and NOT "obstruction of justice" which has a totally different meaning and applications.
Inawezekana ikawa hivyo pia lakini faini ya kuegesha gari vibaya inajulikana na yule Askari kama angefata sheria asingefikia hatua ile, kwanza yeye angewazuia wasiondoe gari lao na kuita maaskari wa usalama barabarani ambao wao hawabebi silaha kama ile na pia ikaja brake down ya maana hapo kidogo tungeshawishika make hao unao waita nyumbu huenda wamekusanywa na huyo aliye leta ubabe sehemu isiyo husika hivyo kushangaa ilikuwa ni muhimu pia.Risasi hakupigiwa malima, ni za wale nyumbu waliokuwa wakiongezeka na malengo tofauti huku wakishangilia kila kitu.
Inawezekana ikawa hivyo pia lakini faini ya kuegesha gari vibaya inajulikana na yule Askari kama angefata sheria asingefikia hatua ile, kwanza yeye angewazuia wasiondoe gari lao na kuita maaskari wa usalama barabarani ambao wao hawabebi silaha kama ile na pia ikaja brake down ya maana hapo kidogo tungeshawishika make hao unao waita nyumbu huenda wamekusanywa na huyo aliye leta ubabe sehemu isiyo husika hivyo kushangaa ilikuwa ni muhimu pia.
Kwani Malima ni nani?!Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Tuchukulie mfano ali hassan mwinyi road kutoka red cross hadi moroko hamna kibao cha no parking. Unaweza kupaki kisa hamna hicho kibao?So umeangalia hiyo clip na umeona sehemu wameandika "no parking" au umeamua tu kujitoa ufahamu