Malima akamatwe (obstruction of justice)

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.

Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.

Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?

Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...

Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi. Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani? Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu ya sheria
Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?

Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?

Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..

Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu.

katik mazingira ya kawaida askal wa namna hii hawawezi kufanya mazingira ya utendaaji kazi wa rais kuwa salama, ni kumpa hedeki tu amiri jeshi..na kumtega...labda ili MKUU WA POLISI ACHUKUE HATUA RAIS AIBARIKI..MNASABABISHA WAKUBWA WAPATE WAKATI MGUMU.

simtetei malima..ni kosa acha askal miaka hii hata mtoto mchanga ukikutana kam hajakusalimia msalimie....dogo hujambo ili akupe shikamoo au asikupe ..lkn wewe umemsalimu hiki ndio kizazi cha sasa

askali ni kama dogo malima alikuwa aombe radhi na kuomba apewe heshma yake ya zamani kuwa wzir , msomi nk..huku akiheshimu wenzie...

lkn askali sio kupiga mashine juu, acheni ujinga ..askali alikosea sana..na malima kwa upande wake..

KUHUSU majembe..hawa siwapendi na kwa nionavyo mzee magu hajafikia huko tuu atapiga marufuku, majembe sijui nani...ni wanyanyasaji..sasa unaona badla ya kudeal na wasumbufu MAJEMBE mnagombana watu wa kawaida askali vs malima. na kuacha ishu ya msingi kupotezewa...
 
Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?

Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?

Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..

Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu
5e21e8b98fbc999c17cff53c2ca3b772.jpg
 
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari

Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari

Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.

Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
 
Je unajua maana halisi na tofauti ya kupaki na kusimama barabarani ....!?
ukinipa tofauti za vitu hivyo utajua nani yupo sahihi madaraka yakulevya upelekea watu kufanya hvyo mamlaka za watu zipo mikononi mwao kwani akuna hata mtu anayekemea kukaa kimya ni busara ila ukizidi ni uchwala...
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi. Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani? Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria

Kwanini alipiga risasi juu zilizonunuliwa na kodi zetu
 
Je kama ingekuwa gari linasubiri majambazi? watu wangesema hawafanyi kazi zao kupunguza majanga... huyo kuuliza sijui kama wanajua yeye nani hapana.. tabu pia video zipo vipande vipande hatujaona walikuwa wameanzaje hadi ikafikia hapo..

Ila ningekuwepo hapo ningekimbia, huo mtutu unatisha.

Polisi wangewahoji mashuhuda tujue kwanini alitumia bunduki yake..akiwa polisi amefanya kosa nae alipate ikiwa waliongeleshwa vizuri wakakataa basi nao wafunzwe.

Majambazi wengi sana siku hizi na wanatumia njia hizo hizo kama vile wao watu wana pesaa magari mazuri kumbeeeee ni hatariiiii

(Mods mnaunga threads, niliyoandika naona hayaendani na uzi mliokuja kuunganisha..bora kuanza kumquote mleta mada ieleweke tu...ndio maana kuchangia uzi kunaboaaaaaaaaaa)
 
Kwani hawa askali awakimuona dreva yuko ndani? Ata awa askali awawezi tambua uyu ni kiongozi waserekari msitaafu japo wakamheshimu! Ivi ingekuwa ni mzee mkapa wangemtendea ivyo? Au angekuwa mzee pinda au labda mwl nyerere Mungu amlaze pema peponi wangemtendea ivyo?.
 
Je unajua maana halisi na tofauti ya kupaki na kusimama barabarani ....!?
ukinipa tofauti za vitu hivyo utajua nani yupo sahihi madaraka yakulevya upelekea watu kufanya hvyo mamlaka za watu zipo mikononi mwao kwani akuna hata mtu anayekemea kukaa kimya ni busara ila ukizidi ni uchwala...
Barabarani kuna makatazo ya aina tatu kuhusu kusimamisha gari:

1. NO STOPPING
- Hapa hupaswi kusimama kabisa.

2. NO STANDING
- Hapa unaweza kusimama (STOP) kwa muda mfupi sana wakati unachukua kitu au abiria.

3. NO PARKING
- Hapa unaweza kuegesha (STAND) kwa muda mrefu kidogo lakini wakati wote lazima dereva awe ndani ya gari na engine ikiwa imewaka.

PARKING ina maana:
- umeegesha gari, dereva hayumo ndani, limezimwa, na milango imefungwa.

Sijui kilichotokea Masaki lakini hizo ndio
sheria za barabani.
 
Kwani hawa askali awakimuona dreva yuko ndani? Ata awa askali awawezi tambua uyu ni kiongozi waserekari msitaafu japo wakamheshimu! Ivi ingekuwa ni mzee mkapa wangemtendea ivyo? Au angekuwa mzee pinda au labda mwl nyerere Mungu amlaze pema peponi wangemtendea ivyo?.
Dereva wa mama Anna Mkapa siku moja tulikunjana, kama kawaida "sikujua yeye nani" pale posta DSM mtaa wa samora kuna duka la mapazia maarufu sana alikuwa amepaki nje, ni kipindi hili ambacho mumewe hakuwa raisi namimi nilikuwa naenda kununua pazia kutokana na ufinyu wa parking mjini ikabidi nipaki mbele yake alishuka kwa matusi we mbona una ni block unajua gari ya nani hii nikamwambia sijaku bloc ila nafasi ni finyu ukitaka kuondoka nijulishe, si akaja kwa lengo la kunikunja kawaida huwa sipigani ngumi kwani zinachelewesha huwezi kuamini ugomvi waliamua vijana waosha magari na wenye dukailikuwa ni waka 2011. nahakika hatanisahau maisha yake yote.
 
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari

Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari

Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.

Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
Hongera kwa kumiliki gari lililotumika kwa zaidi ya miaka kumi japani pili nikwambie tu kwamba unatakiwa uwe na busara unapodeal na crown pale double tree kuna diplomatic office shirika la umoja wa mataifa la uhamiaji huwezi kuwa na elimu ya barabarani ukasimamisha gari nje ya ofisi hizi za kibalozi mbona jeshini huwa hampaki hivyo vi passo vyenu na akitokea mwanajeshi akakwambia toa gari huwa hamuulizi alama iko wapi....sasa wewe ongea ila mwenzio ndio kalala oysterbay na vx lake liko nje siyo jeki wala siyo gari I OWN A FLEET.
 
Kuna maeneo una ruhusiwa kupaki ila usitoke ndani ya gari,Mimi siku moja walinikamata hao yono,nilipaki nje kabisa ya barabara nilikuwa naongea na simu ,wakaniuliza kwa nini sijawasha daVincible azard,nikawaambia jamani hapa si nje kabisa ya barabara,nikisema nje ya barabara naomba muelewe nilikuwa nje kweli tena nilipo kuwa kwa nyuma oil wala hakuna hata uwezekano wa gari kupita,yaani jaribu hatua tano toka kwenye barabara dah
 
Askari kakosa kuheshimu watu na silaha yake kwa kupiga risasi hewani sehemu ambayo maneno tu yangemaliza mzozo.

Anahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu kuhusu afya yake ya akili ili kuangalia kama ana uwezo wa kubeba silaha bila kuleta madhara kwa raia pasipo na haja.

Polisi wa Tanzania inawapasa watekeleze utaratibu wa kujitambulisha kwa vitambulisho rasmi kabla hata hawajaulizwa.
 
Back
Top Bottom