Mali za Kijerumani

Mali za Kijerumani

Mzigo wa Mjerumani upo tena wakutosha Tz. Ndo maana na serikali wametunga sheria inayoitwa Antiquities Act...aka mambo ya kale. Mininashimo langu karibuni nazoa mzigo. Mnategemea nitatangaza? Najua mtanisema nimejiunga Freemasons. Mamilionea wengi TZ wamepiga huo mzigo asieamini aendelee kutoamini. Tena mi chimbo langu halina muujiza wala nini... walitumia akili kubwa sana ikiwemo kutengeneza chumba ndani ya jabari chini ya aridhi mlimani.

utaona muujiza utakapo karibia mali!!!
 
Fazili ..Kama unasehemu unaijua ni PM tuwasiliane ...ninamtaalamu anafungua kiulaiiniiii
 
Hadithi hizi hazikuanza hivi karibuni! Huko Tukuyu, Mbeya kuna ziwa linaitwa Kibisi ambalo halina sehemu inayooneka kwa macho kama inaingaza maji ziwani humo au kutoa ambalo Wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia walitupa hazina kubwa ya mali ambayo upatikanaji wake ni mgumu kwani kila anayezamia na kutaka kuitoa anakumbana na mauzauza mengi ikiwemo kutokewa na joka kubwa linalotisha!

Inasemekana kuna wazungu walijaribu kuitoa hazina hiyo wakashindwa baada ya mmoja wao kuzamia huku akiwa amefungwa vifaa maalumu pamoja na minyororo ya kufungia masanduku ya chuma yanayosemekana yapo chini ya ziwa. Mzungu huyo hakurudi juu wala masanduku na kupotelea chini ya ziwa na kuwafanya wenzake kuondoka kwa majonzi makubwa badala ya furaha!
na hadithi alikufundisha nani?
 
Mi ppia nimeona hhilo shimo juu ya mlima liko deep na unaona giza tu liko kule amani!!!!
Haya mambo yapo ni kweli kuna mali ziliachwa na Wajerumani mara baada ya kushindwa kwenye vita kuu ya I ya Dunia. Ila hakuna hata mmoja anaye weza kuprove beyond dought kwamba ameona that is why kila mtu anasema aliambiwa.
Ila mimi kwa macho yangu nimeshuhudia shimo juu ya mlima na ni kubwa sana ila alichimba nani sijui na kilichopo napo sijui.
Kwenye ishu ya Uchawi inaweza kuwa hawakutumia uchawi ila kwa akili walizo tumia ikiwemo kuchimba mashimo na kujenga vyumba ndo kunafanya watu waamini kwamba ni uchawi.
 
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.
Hizi imani za kishirikina,wapo watu wametoa kafara hadi za watu ili kupata mali za kusadikika.
Nchi hii ilivyo na njaa hakuna kitu kama hicho,na kama ingekuwepo basi watu wa Manzese na Tandale ndio wangekuwa wa mwanzo kuipata maana ndio eneo linaongoza kuwa namshimo mengi ya vyoo.
Hizi ni imani za kishirikina,kuna mtu mmoja aliniambia eti kuna majini yamekali madini ya Almasi ya mamilioni ya pesa na mganga kutoka mombasa kawaambia wampe milioni mbili ili wapate kuyafikia.Na kuambiwa kama hivyo ulivyosema kwamba ni mali za kale.
Sio kweli habari hizi.Nchi imeendelea na ina mitambo ya kisasa ya kuangalia dhahamu hadi umbali mrefu itakuwa hivyo vyuma walivyoacha?
 
Kuna kijiji kimoja kinaitwa Mbesa kipo wilaya ya Tunduru,ukifika hapo kuna misheni kubwa sana ya wajerumani.Sasa ajabu ni kwamba kila baada ya miaka kadhaa wajerumani wanatoka kwao wanajifanya kuja kuwatembelea wenzao kumbe kuna mahali wanapelekwa tena usiku wa manane tena kuna mwenyeji maalumu,baada ya watu kustukia dili na kufika pale mahali wanapokwenda usiku uishia kuona mawe ambayo yana namba hazieleweki ni namba za nin mpaka leo hata hao wenyeji hawajui zile namba ni za nini na kwa nini wale jamaa wafunge safari kutoka ulaya kuja kule kijijini kucheki zile namba tu tena hawaendi mchana.Ni siri kubwa mpaka leo hakuna anaejua zaidi yao na yule mswahili ambaye ni mwenyeji wao akirudi tuko huko na hao jamaa akili yake inakuwa sio mzuri mpaka baada ya muda fulani anakaa sawa.
 
Mbeya kuna sehemu wanaita kisiba jamaa walizamisha mali zao uko.
Ila kila anayeenda kuzifuata hufa na ata ukienda kuna makaburi pembeni ya ilo bwawa.
Sasa sijui ni kweli au story za kijiweni
 
bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.

Mkuu hebu tupe mrejesho
 
Jaman tuwe makin sana hii biashara IPO na si utan inathaman kubwa mno tatizo sasa uswahili mwingi kusumbuana pasipo na ulazima matapel ndo kibao...naomba tuwe serious mi nahitaji mtu mwenye rupia mfano fufumark au ein rupiah, pasi, stove(chemli)..johari yan yai la nyoka na n.k tafadhal usinipigie ukijijua we ni tapel na biashara inafanyika dar es salaam sio huko shamba piga 0716637717 au 0769767771 matapel na wasumbuf kaeni mbaaali hakuna nafac
 
Pia vigezo kuzingatiwa unapowasiliana nami ujibu kwa uhakika kwa kile nitachokuuliza usibabaishe mda Mali pia maswala ya kuniambia eti mwenye Mali anataka kuachiwa hela kidogo nyumban kwake sitaki kusikia huo ni utapeli na hakuna biashara kama hyo piga 0716637717 au 0769767771
 
Leteni ushahidi hapa ikiwezekana na picha kabisa,nyingi kama sio zote ni hadithi tu
mkuu hizi habari kweli ila wale jamaa wameroga sana,unaweza ukafuatilia ukikaribia kufanikiwa unaghairi kumaliizia kazi au mkagombana wenyewe kwa wenyewe ,wamepumbaza sana ila amin tu wazungu wachawi sana.
 
Mpaka muda huu hapa mkoani kwetu kuna jamaa wanachimba kwa kutumia gleda wakifuatilia mali za kale za Wajerumani.
Leo wiki ya tatu na inasemekana kuna mzigo wa dhahabu wa kg 1000 gleda linaunguruma masaa 24
 
Kama una red mercury or white, rupia , stoves , Pasi za kijeruman tafadhal tuwasiliane kwa 0716637717 au 0769767771 matapel kaen mbali biashara kufanyika dar es salaam
 
Mpaka muda huu hapa mkoani kwetu kuna jamaa wanachimba kwa kutumia gleda wakifuatilia mali za kale za Wajerumani.
Leo wiki ya tatu na inasemekana kuna mzigo wa dhahabu wa kg 1000 gleda linaunguruma masaa 24

Mkoa gani huo? Tafadhali tuletee mrejesho wakifanikiwa
 
Huku kwetu kuna mzee mmoja alishachimba hzo mali tangu akiwa kijana hadi sas ana miaka 65 bado hajafanikiwa kufikia masanduku hayo, hata leo jioni alitoka huko kuchimba, nilijaribu kumdadis yule mzee anasema kwamba mali hxo zipo shida ni kwamba zimezindikwa hata waganga wa huku africa hawawzi kuzitoa hadi wajerumani wenyewe.
Ila pamoja kuelewa hvyo mzee wa watu bado tu anakomaa na anasema bado anamatumaini kuwa siku moja Mungu atamsaidia ataxifikia hzo mali, binafsi nafaham maeneo mengi yanayosadikiwa kuwepo kwa mali hzo so mwenye kuhitaji aniPM nimpe ramani. kuna sehemu palikuwa na gereza la wajerumani zamani, Babu yake baba aliwahi kufungwa pale na mjerumani kisa alikuwa na urafiki na mwingereza, kipindi hicho walichimba maandaki makubwa hapo lkn hawakujua matumizi ya maandaki yale, sasa hapo ndo unaambiwa mali zimejaa na zinahitaji nguvu kubwa kuziondoa.
 
Huku kwetu kuna mzee mmoja alishachimba hzo mali tangu akiwa kijana hadi sas ana miaka 65 bado hajafanikiwa kufikia masanduku hayo, hata leo jioni alitoka huko kuchimba, nilijaribu kumdadis yule mzee anasema kwamba mali hxo zipo shida ni kwamba zimezindikwa hata waganga wa huku africa hawawzi kuzitoa hadi wajerumani wenyewe.
Ila pamoja kuelewa hvyo mzee wa watu bado tu anakomaa na anasema bado anamatumaini kuwa siku moja Mungu atamsaidia ataxifikia hzo mali, binafsi nafaham maeneo mengi yanayosadikiwa kuwepo kwa mali hzo so mwenye kuhitaji aniPM nimpe ramani. kuna sehemu palikuwa na gereza la wajerumani zamani, Babu yake baba aliwahi kufungwa pale na mjerumani kisa alikuwa na urafiki na mwingereza, kipindi hicho walichimba maandaki makubwa hapo lkn hawakujua matumizi ya maandaki yale, sasa hapo ndo unaambiwa mali zimejaa na zinahitaji nguvu kubwa kuziondoa.

Mkoa gani huo?
 
Tatizo matapeli wamejaa humu kibao na ndo wanaoharibu hii biashara inakera kwa kweli watu tupo serious mijitu inakuja tu inasema kuna hiki na kile mwisho wa siku unagundua ni utapeli unatengenezwa.
 
Hakuna masharti ya kutoa sadaka wala nn na suala LA eti mwenye Mali kupewa pesa yake huko porin vijijin huo ni wizi hivyo ukinijia mi basi ujue biashara inafanyika mjini na DAR ES SALAAM ndipo ninapopazungumzia hvyo unatakiwa ujipange utapeli hauna nafasi maneno mengi SITAKI ukijiona huna uhakika usinitafute tafadhali
 
Hivyo mwenye RED MERCURY..RUPIA AINA YA FUFUMARK N.K PIA PASI,STOVES,JOHARI ,KUFULI ,Mali nyingine za kijeruman au kama unamjua mtu anavyo na yupo tayar kuja DAR kwa biashara bila masharti bac nitafute matajiri wapo namba ni 0716637717 na 0769767771
 
Aisee hii plot ingetumika kutengeneza movie ya nguvu! Kama vile 'fools gold' au 'national treasure'!
 
Back
Top Bottom