Mali za Kijerumani

Inasemeka hata shule ya old moshi ya zamani sasa ni kolila inayomilikiwa na kkkt kuna kanisa pembeni ni makaburi ya wajerumani alf kuna handaki mlango wa kuingilia upo ndani ya jengo la shule pia kunasehemu kama mnala full zege yawezekana nako kuna mali pia

nami nilisikia juu hilo hapo kolila...
 
Kuna ukweli kuhusiana na mali hizo ndio maana kuna vikwazo vingi kuzipata ikiwemo hiyo ya nguvu za giza ila ni bora kukaa mbali kabisa na issue hizo wengi wamefirisika kwa kutafuta mali hizo siyo kazi rahisi, achilia mbali kufirisika unazeeka unafuta bila mafanikio.
 
Haya maswala ni utapeli mtupu asikuambie mtu!

Huu ni mwanzo Wa kazi tu ya utapeli ukiingia humo utaenda utakutana na mambo ya ajabu na Kama ukiwa na Fwedha na wao wanajua Kua unafwedha itakwenda hizo Mali za wajerumani zinaonekana na wao watajitoa na kukuacha wewe ununue Kwa bei kubwa huku wakikwambia hii utakwenda kuuza bei kubwa sn! Uongo mtupu! Na ukishanunua tu huwaoni tena!

Haya mambo ni ujinga ujinga tu maeneo ambao waliokua wanakaa Wakoroni yanajulikana na ndio hayohayo serikali imeyakalia Au viongozi Au watumishi Wa serikali! Sasa ni wapi huko Hawa watu walijuendea kuficha hizo Mali hivyohovyo?

Ukienda Zaidi utakutana na Rupia, Zebaki na madini Feki na Uganga Wa kienyeji Wa kitapeli!
Hakuna kitu hapa!

Tutafuteni pesa Kwa njia halali na si Kwa mambo ya utapeli km huu!
 
Hii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..

Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!

Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..

I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.

TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.

Wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali kwa kufanya tafiti hizo kihalali kabisa na Watanzania wengi wameshafanikiwa . Sio biashara illega serikali inaitambua na inatoa support

Kwa akili yako unadhani utajiri wa rizi one ni kuiba hela za serikali? Wamepiga site huko Lindi , Fuso nzima ! Mzee Mengi amepiga site Lushoto ya kufa mtu
 
Rupia
Zebaki
Madini Feki
Mali za wakoloni
Misalaba ya makanisa
Kengele za makanisa
Waganga wakienyeji matapeli

Haya yote ni shida, ukizubaa wanakupiga vibaya tena Unaweza ukakuta mtu mmoja akafanya kazi zote hizo! Maana ni mtandao mkubwa!
 
Wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali kwa kufanya tafiti hizo kihalali kabisa na Watanzania wengi wameshafanikiwa . Sio biashara illega serikali inaitambua na inatoa support

Kwa akili yako unadhani utajiri wa rizi one ni kuiba hela za serikali? Wamepiga site huko Lindi , Fuso nzima ! Mzee Mengi amepiga site Lushoto ya kufa mtu
=>hili la mengi lushoto nimelisikia na wewe ni kama mtu wa kumi kupata fununu hii. || LABDA TUTOE ANGALIZO FANYA UTAFITI HUU UKIWA NA SHUHULI AU KAZI ZAKO ZINGINE.FANYA KAMA LEISURE/HUKU KAZI ZAKO ZINGINE ZIKIENDELEA,NEVER PUT MUCH EXPECTATION ON IT!!!
 
Haya maswala ni utapeli mtupu asikuambie mtu!

Huu ni mwanzo Wa kazi tu ya utapeli ukiingia humo utaenda utakutana na mambo ya ajabu na Kama ukiwa na Fwedha na wao wanajua Kua unafwedha itakwenda hizo Mali za wajerumani zinaonekana na wao watajitoa na kukuacha wewe ununue Kwa bei kubwa huku wakikwambia hii utakwenda kuuza bei kubwa sn! Uongo mtupu! Na ukishanunua tu huwaoni tena!

Haya mambo ni ujinga ujinga tu maeneo ambao waliokua wanakaa Wakoroni yanajulikana na ndio hayohayo serikali imeyakalia Au viongozi Au watumishi Wa serikali! Sasa ni wapi huko Hawa watu walijuendea kuficha hizo Mali hivyohovyo?

Ukienda Zaidi utakutana na Rupia, Zebaki na madini Feki na Uganga Wa kienyeji Wa kitapeli!
Hakuna kitu hapa!

Tutafuteni pesa Kwa njia halali na si Kwa mambo ya utapeli km huu!
hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa tuzichukue, kwa kila njia mtu anaeijua ni halali yetu kabisaa.ila si kazi ndogo.....
 
=>NAPENDA NIKUTIE MOYO NEVER GIVE UP,I'M WITH YoU BROS!!!
 
hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa tuzichukue, kwa kila njia mtu anaeijua ni halali yetu kabisaa.ila si kazi ndogo.....

Swali ni kwamba serikaliinayajua maeneo yote ya wakoloni ya ki historia na yaliyokua makazi Yao!

Na serikali ndio imeweka makazi kwenye hayo maeneo yaliyokua makazi ya wakoloni kuanzia baadhi ya makambi ya jeshi na maboma na nyumba walizokua wanakaa! Iweje Leo hizo Mali zimekua za kutafuta tu sehemu mbalimbali? Tena Kwa Imani ya ushirikina na makafara?
 
Mzigo wa Mjerumani upo tena wakutosha Tz. Ndo maana na serikali wametunga sheria inayoitwa Antiquities Act...aka mambo ya kale. Mininashimo langu karibuni nazoa mzigo. Mnategemea nitatangaza? Najua mtanisema nimejiunga Freemasons. Mamilionea wengi TZ wamepiga huo mzigo asieamini aendelee kutoamini. Tena mi chimbo langu halina muujiza wala nini... walitumia akili kubwa sana ikiwemo kutengeneza chumba ndani ya jabari chini ya aridhi mlimani.
 
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure

Weka picha!
 
Kennedy...ukiokota burungutu la milioni tano njiani unatembea utatangaza? Security yako itakuwaje jamii ikijua una fuko la almasi ndani kwako? Siku izi mnawaita mafreemason kumbe wenzenu wamepiga pesa! Endelea kusubiri ushahidi
 
Wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali kwa kufanya tafiti hizo kihalali kabisa na Watanzania wengi wameshafanikiwa . Sio biashara illega serikali inaitambua na inatoa support

Kwa akili yako unadhani utajiri wa rizi one ni kuiba hela za serikali? Wamepiga site huko Lindi , Fuso nzima ! Mzee Mengi amepiga site Lushoto ya kufa mtu

Mkuu japo umenijibu kwa lugha isiyo na staha, lakini nimekubali unachokisema kwa kuwa nakifahamu.. labda nikuombe usome tena post yangu, inaonekana hujaielewa!

Nilichosema this is too risky bznes na inakuwa illegal kutokana na wengi kufanya bila vibali, na kupata kibali sio kazi rahisi.. On top of that, wengi wanaishia kufirisika!
 
Sheria ya mambo ya kale ...inataka mtu akigundua maficho aitalifu serikali kupitia ofisi za mambo ya kale. Then ofisi itakupa mtaalamu na serikali itatoa ulinzi wakati wa shughuli nzima ya uchimbuaji. Ukishapata Mali, utachukua 50% na serikali kuu 30% wakati 20% inabakia ktk serikali ya kijiji husika. Wanaobishi kuwepo maficho ya kijerumani...serikali walikuwa wehu kupitisha sheria hii?
 
Uko msitu huku tanga wakati unakatiza zipo alama nyingi zimechorwa ktk mawe na miti zikionyesha uelekeo wa kufuata,unapojaribu kufuata mwishowe hukutana na zege kubwa lililomiminwa kwa ufundi wa hali ya juu na alama kama ya w zilizoumana,lazima kutakuwa na kitu si bure

Mimi nimewahi kuishi Tanga, niwahi kufika mpaka Lanconi na sehemu nyingine sijawahi kuona haya wanayodai watu. Tuwekee picha ya hayo maandishi na zege.
 
Haya mambo yapo ni kweli kuna mali ziliachwa na Wajerumani mara baada ya kushindwa kwenye vita kuu ya I ya Dunia. Ila hakuna hata mmoja anaye weza kuprove beyond dought kwamba ameona that is why kila mtu anasema aliambiwa.
Ila mimi kwa macho yangu nimeshuhudia shimo juu ya mlima na ni kubwa sana ila alichimba nani sijui na kilichopo napo sijui.
Kwenye ishu ya Uchawi inaweza kuwa hawakutumia uchawi ila kwa akili walizo tumia ikiwemo kuchimba mashimo na kujenga vyumba ndo kunafanya watu waamini kwamba ni uchawi.
 
Hadithi hizi hazikuanza hivi karibuni! Huko Tukuyu, Mbeya kuna ziwa linaitwa Kibisi ambalo halina sehemu inayooneka kwa macho kama inaingaza maji ziwani humo au kutoa ambalo Wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia walitupa hazina kubwa ya mali ambayo upatikanaji wake ni mgumu kwani kila anayezamia na kutaka kuitoa anakumbana na mauzauza mengi ikiwemo kutokewa na joka kubwa linalotisha!

Inasemekana kuna wazungu walijaribu kuitoa hazina hiyo wakashindwa baada ya mmoja wao kuzamia huku akiwa amefungwa vifaa maalumu pamoja na minyororo ya kufungia masanduku ya chuma yanayosemekana yapo chini ya ziwa. Mzungu huyo hakurudi juu wala masanduku na kupotelea chini ya ziwa na kuwafanya wenzake kuondoka kwa majonzi makubwa badala ya furaha!

Mkuu hizi story za hilo ziwa mbona kuna story nyingi? Kama ni maziwa yasiyo kuwa na mito inayo ingiza maji yako mengi mi nimeshuhudia Mawili. Mfano ukichiki ziwa Duruti Arusha lina Tabia hizo ila kuna Wajapani walisha fanya utafiti na wakaprove kwamba lina conection na ziwa Tanganyika na ukienda hata Manyara hifadhi kuna mto ambao ni proved unatoa maji yake ziea victoria na kuja kuibukia manyara. Hivyo kuna mambo mengo ambayo badala ya watu kufanya tafiti wana conclude kwamba ni uchawi.
 
Swali ni kwamba serikaliinayajua maeneo yote ya wakoloni ya ki historia na yaliyokua makazi Yao!

Na serikali ndio imeweka makazi kwenye hayo maeneo yaliyokua makazi ya wakoloni kuanzia baadhi ya makambi ya jeshi na maboma na nyumba walizokua wanakaa! Iweje Leo hizo Mali zimekua za kutafuta tu sehemu mbalimbali? Tena Kwa Imani ya ushirikina na makafara?
bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom