Mali za Kijerumani

Mali za Kijerumani

kuna vijana walijitoa mhanga kule loliondo wakachimba miezi kadhaa wlipofanikiwa wakakuta chini kuna room ukawa mziki jinsi ya kuingia huko ila kabla hawajafaninkiwa wakakamatwa na wanajeshi. Serikali kipindi cha Mkapa wakawaita wajerumani wakaja kuchukua kiulaini sijui serikali ilipewa nini, mali zipo nyingi sana
 
kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooon

Wewe kijana,kuwa makini mambo si rahisi namna hiyo,
 
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.

mkuu si muda mrefu nimetoka saiti vijana wanapiga kazi na kwa uhakika kabisa nashuhudia uwepo wa mali pale.
 
MIE binafsi nimeshiriki kuzichimba huko kondoa irangi maeneo ya vijijini kunaitwa king'ang'a ,ila kiukweli hawa jamaa walitumia akiri sana michoro ipo ila pia mingine ya kukupoteza .Mwisho wa siku nilikata tamaa kwani nilivunja mazege mpaka nikahisi kifo kwani kuna manyaya nikahisi hawa watu wameweka mabomu.
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.
 
kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooon

Ukifika Kiwangwa msalimie zimwi la nchi.
 
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa utaratibu maalumu ambao ktk mazingira ya kawaida si rahisi kuzitoa au kuzihamisha.

Inasadikika mali hizo zitakaa hapo zilipo mpk wao wenyewe watakapoamua kuzifuata,pia inasadikika walitumia "runic rituals"ktk kudhihifadha utaratibu unaoendana na utoaji kafara binadamu.

Yapo maeneo mbalimbali ambako inasadikika masanduku haya yalihifadhiwa, baadhi ya maeneo hayo ni Tanga (usambara),Morogoro,Singida,Lindi,Kilimanjaro na nk.

Yeyote mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi juu ya suala hili,kwani maeneo haya yatakapo julikana vema huenda yakawa chanzo kizuri cha utalii kutokana na historia yake kusisimua.

Nawasilisha.

Ni kweli mjerumani mmoja alikuja na ramani pale misigiri-sekenke alipoisoma akachukua watu wakamsaidia kuchimba chini akatoa miche ya dhahabu kibao kila shimo ambalo lilimiminiwa zege kali sana, kulikuwa na sefu za dhahabu tano sehemu tofauti pale
 
Hii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..

Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!

Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..

I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.

TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.
 
Shukran hapo umenena tufanye kazi ki wazi na halali hayo ni ya haraka na mazingaombwe poa km kuna ukweli basi nasema mungu awabarikie mfanye nyie ila muwe na tahadhari na matapeli
 
Inasemeka hata shule ya old moshi ya zamani sasa ni kolila inayomilikiwa na kkkt kuna kanisa pembeni ni makaburi ya wajerumani alf kuna handaki mlango wa kuingilia upo ndani ya jengo la shule pia kunasehemu kama mnala full zege yawezekana nako kuna mali pia
 
mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige hela,onyo muongo akae mbali,kwa walio ona tu suala la kusikia kaa mbali.

Mhhh.....
 
Hapo zamani sana vitu kama almasi,rubi,na vingine vingi vya thamani vilikuwa ni madini yaliyotapakaa juu ya ardhi kama mawe ya kawaida wakoloni hawa waliweza kuokota kwa wingi jinsi walivyopenda huku wenyeji tukichezea bao bila kufahamu kama ni mali,kwa vyovyote kwa wingi huo isingekuwa rahisi kuondoka na mizigo yote
 
Mbona hakuna anayeleta ushahidi pasi na mashaka kuwa wamefanikiwa kupata hizo

Mali kwa mfano mtu aseme

Sehemu mfano Iringa wamepa sanduku lenye mali pia na aina mfano dhahabu
almasi n.k
 
Hii sio dhana, ni kweli! Ninafahamu baadhi ya location ambapo treasure zipo.. Pia nimefanya biashara hiyo, tatizo sikuwahi kufanikiwa. Kila unapopata mali (sio madini) ukipeleka sokoni unaambiawa sio.. Wajerumani wanatumia spray flani hivi kuweza ku-easen utoaji wa hizo mali.. Walivyozihifadhi walitumia mizimu na teknolojia ya sayansi.. Its too risky bzness na pia ni illegal, simshauri mtu afanye! Tuiache serikali ifanye, maana ni pekee itakayoweza, ikishirikiana na wajerumani.. Kwa maana kuna sehemu (sijafika lakini nimesikia) walitega na mabomu..

Hizo hazina ni nyingi zaidi kanda ya ziwa!

Kwa uchunguzi wangu nimepata kumjua mtu mmoja tu aliyewahi fanikiwa kwa shughuli hizi, alipata pesa uncountable, in 10yrs, sasa hivi ni maskini wa kutupwa!..

I knw inn and out of this project-bzness!! Na vitu vingi nimeviona na kuvishika! Uchawi mwingi.

TUFANYE KAZI HALALI.. NO SHORT CUT IN LIFE.
BUT U CAN SPEND IT AS "ADVENTURE TOUR" WAKATI WA LIKIZO JUST LIKE LEiSURE
 
Hi bro uhakika bado hauko
Kweli tunaambiwa kuna mali nyingi za thamani kubwa walakin mengi au wengi wao ni wazushi mimi huwa nafatilia sana hz sehemu walakin sijawahi kuona yoyote kati ya hao alifanikiwa. Nadhani ni hadithi tu na uhakika bado hauko

Kweli inawezekana ni stori tu lakini kuna kipindi pale Singida kulikuwa na uchimbaji wa kufuatilia thamani hizona watu walikuwa wanatoana kafara sana, mimi nakubaliana na mtoa mada na maeneo mengi yake waliweka vitu visivyoweza kuhamiskika kwa urahisi mfano: Makanisa, Magereza na kadharika. mfano Gereza moja hivi kule Urambo-Tabora kuna habaria za kuaminika kuwa kulikuwa na machimbo ya madini.
 
Kweli mimi pia nimesikia kwa Bwana mmoja ambaye yeye alisafiri na mjerumani wa kike na msome hasa walienda morogoro milimani yaliyofanyika ni mambo ya hatari mfano walienda sehemu wakakuta makaburi na wakaamrishwa wapake masizi then huyo mama kaenda sehemu kama kuna hifadhio ya madini na nahisi ilikuwa kama madini ya mercury na mmoja wa wana kijiji alikimbia toka milimani kwa kuogopa hali hiyo,kimsingi kuna baadhi ya madini wamehifadhi kwa alama maalum
Yeah nimepata sikia toka kwa mtu wangu wa karibu jamaa zake walichukuliwa na wajerumani fulani ambao walikuwa wakizungumza kiswahili vyema..walifika morogoro wakawachukua hao vijana maeneo ya vibandani kisha wakapandisha.milima ya uluguru walikuwa na vifa ambavyo vyaonyesha location na distance kwa uzuri kabisa...walipofika maeneo fulani kwa maelekezo ya vifaa vyao wakawambia wale vijana ambao waliokuwanao kwamba wanatakiwa chimba hapo walipofika. Walivyo chimba wakuta vitu kama vyungu hivi ila ndani yake vimejaa almasi hapa mchezo jamaa wakapewa vijiwe vichache pale...na hapo wale vijana hata mtaani wakahama kabisa...pia pana stori moja ipo arusha wanasema pana kaburi ambali pana hazina za hao wajerimani ila hakuna alieweza chimba kufanikiwa maana kila anaejaribu kufanya hivyo hujikuta matatani aidha anajikata kwa vichimbio au ananguka na kadha wa kadha...so huenda hayo makitu yapo nchini.
 
Hadithi hizi hazikuanza hivi karibuni! Huko Tukuyu, Mbeya kuna ziwa linaitwa Kibisi ambalo halina sehemu inayooneka kwa macho kama inaingaza maji ziwani humo au kutoa ambalo Wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia walitupa hazina kubwa ya mali ambayo upatikanaji wake ni mgumu kwani kila anayezamia na kutaka kuitoa anakumbana na mauzauza mengi ikiwemo kutokewa na joka kubwa linalotisha!

Inasemekana kuna wazungu walijaribu kuitoa hazina hiyo wakashindwa baada ya mmoja wao kuzamia huku akiwa amefungwa vifaa maalumu pamoja na minyororo ya kufungia masanduku ya chuma yanayosemekana yapo chini ya ziwa. Mzungu huyo hakurudi juu wala masanduku na kupotelea chini ya ziwa na kuwafanya wenzake kuondoka kwa majonzi makubwa badala ya furaha!
 
Back
Top Bottom