Mali za Kijerumani

Mali za Kijerumani

bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.

Binafsi nimekua nasikia hayo mambo yapate Zaidi yamiaka 15 sasa na Hao watu wayatafutayo hayo mambo ni maskini na wengine wamefia mapolini huko!
 
Haya maswala ni utapeli mtupu asikuambie mtu!

Huu ni mwanzo Wa kazi tu ya utapeli ukiingia humo utaenda utakutana na mambo ya ajabu na Kama ukiwa na Fwedha na wao wanajua Kua unafwedha itakwenda hizo Mali za wajerumani zinaonekana na wao watajitoa na kukuacha wewe ununue Kwa bei kubwa huku wakikwambia hii utakwenda kuuza bei kubwa sn! Uongo mtupu! Na ukishanunua tu huwaoni tena!

Haya mambo ni ujinga ujinga tu maeneo ambao waliokua wanakaa Wakoroni yanajulikana na ndio hayohayo serikali imeyakalia Au viongozi Au watumishi Wa serikali! Sasa ni wapi huko Hawa watu walijuendea kuficha hizo Mali hivyohovyo?

Ukienda Zaidi utakutana na Rupia, Zebaki na madini Feki na Uganga Wa kienyeji Wa kitapeli!
Hakuna kitu hapa!

Tutafuteni pesa Kwa njia halali na si Kwa mambo ya utapeli km huu!

There are real treassures out there, however matapeli wanatumia hizo mambo kutapeli watu. Kitu chochote chenye thamani kubwa huwa ni rahisi sana kwa con-men na scammers kutengeneza pesa!
 
Binafsi nimekua nasikia hayo mambo yapate Zaidi yamiaka 15 sasa na Hao watu wayatafutayo hayo mambo ni maskini na wengine wamefia mapolini huko!
kwangu mimi kufa kwa ajiri ya kutafuta ni heshima zaidi,yaani kama vile dereva unaanga kwako unaenda kazini halafu lolote njiani linaweza kukupata la kukupata , inabaki history,haya ni masuala ambayo hayahitaji jazba au mawenge,kama mm nna shughuri zangu,wala haya mambo hayanishughurishi kiasi cha kuvuruga utaratibu wa mambo yangu,suala ya wengi uwaonao wamechacha huo ni mwanzo mgumu kutafuta kazi,lakini wapo watu wenye hela wanaofanya kazi hii,kufa kupo tu,tutakufaje hakuna ajuae,tafuta mali ili mradi haudhurumu mtu wala kudhuru mtu,mungu atakupa ,na kwa vile zile ni mali zetu watanzania lazima tuzichukue ni haki yatu kabisa.
 
Natafuta pasi ya mjerumani,jiko na rupia mwenye habari navyo tuwasiliane,soko lipo!
 
Hivi vitu vipo japo mi nikijana mdogo sana ila kwa historia ya shule kuhusu wajerumani na kufatilia sehem mbalimbali kama vile morogoro na dodoma naamini hivi vitu vipo na wapo watu wamefanikiwa sana kutokana na hivi vitu..akiwemo tajiri wa meridian na hata hao wakina ridhiwan kama mtu anahakika anajua hivi vitu vilipo basi cha kwanza mimi na yeye tukahakikishe kabla ya kumpeleka mtaalam wa kufanya hiyo shughuli pili hivi vitu vikitoka ni moja kwa moja benki kuu wao ndio wanawasiliana na matajiri ndani ya siku 2 hadi 3 biashara inafanyika benki kuu kisha benki inachukua asilimia 10 ya pesa zitazopatikana na unapewa kibali na uhalali wa pesa ulipoipata hakuna ataekuja kukusumbua na sio kuuuza kwa njia nyingine tuwasiliane kwa 0716637717
 
Tatizo tu ukiingia kwa pupa basi utachoka mapema maana matapeli wapo wengi tena sana si mchezo biashara hii si rahisi maana hapa tunazungumzia bilion za kitanzania sa sio kitu cha kulala na kuamka hizo zimekufikia la uvumilivu,kuaminiana na kutokuwa na tamaa maana mkileta tamaa hampati kitu naomba mwenye uhakika sehem zilipo hizi hazina iwe mapangon ama mtu anavyo pasi,chemli, majiko ,sufuria n.k wasiliana nami tufanye biashara kwa uwazi na uhakika zaidi kwa faida ya kila mmoja wetu 0716637717
 
Hivi vitu vipo japo mi nikijana mdogo sana ila kwa historia ya shule kuhusu wajerumani na kufatilia sehem mbalimbali kama vile morogoro na dodoma naamini hivi vitu vipo na wapo watu wamefanikiwa sana kutokana na hivi vitu..akiwemo tajiri wa meridian na hata hao wakina ridhiwan kama mtu anahakika anajua hivi vitu vilipo basi cha kwanza mimi na yeye tukahakikishe kabla ya kumpeleka mtaalam wa kufanya hiyo shughuli pili hivi vitu vikitoka ni moja kwa moja benki kuu wao ndio wanawasiliana na matajiri ndani ya siku 2 hadi 3 biashara inafanyika benki kuu kisha benki inachukua asilimia 10 ya pesa zitazopatikana na unapewa kibali na uhalali wa pesa ulipoipata hakuna ataekuja kukusumbua na sio kuuuza kwa njia nyingine tuwasiliane kwa 0716637717

Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
 
Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!
halafu wewe unapenda saaana kubisha bisha na nakuchora tu,utapeli upo katika kila biashara ya hela nyingi cha msingi kufahamu tu biashara hii inaendaje
 
Mifano ya hivyo huwa
wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani
iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!

moja ya mali za wajerumani ni mgodi wa dhahabu wa geita ulikuwa unamilikiwa na claus gauge waghana na ashanti wakapiga hela wakauza kwa kaburu anglo amerika nae anaendeleza kupiga mchongo unataka ushahidi gani tena!
 
halafu wewe unapenda saaana kubisha bisha na nakuchora tu,utapeli upo katika kila biashara ya hela nyingi cha msingi kufahamu tu biashara hii inaendaje

Hahahaa! vipi, nakwamisha harakati zako mkuu?
 
moja ya mali za wajerumani ni mgodi wa dhahabu wa geita ulikuwa unamilikiwa na claus gauge waghana na ashanti wakapiga hela wakauza kwa kaburu anglo amerika nae anaendeleza kupiga mchongo unataka ushahidi gani tena!

Mgodi wa Geita ni mali ya Wajerumani?!!!...hahahaha, no offense lakini naomba kujua naongea na mtu mwenye umri gani asee!
 
Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!

huo si mfano wa kitapeli ni wakiuhalisia ni mara nyingi tu ridhiwan amekuwa akidhamini haya mambo na sehem nyingine hata kutapeliwa na sehem nyingine anafanikiwa akishirikiana na manji...kuhusu huyo mtaalam yeye ametoa maeneo ya tanga na tajir wa meridian amempatia moja ya nyumba yake na basi, landcruiser ya kutembelea na pesa ambayo ye hataki kuiweka wazi sa kuandika imeibuliwa kiasi gan kuuzwa lini kwa pesa gani ikiwa mzee mwenyewe ndo kapewa hicho na mengine hakutaja ni sir yao huwez kumpekua mtu na ndo maana nasema kama kuna mtu anauhakika kuwa zipo sehem anazijua basi tunatakiwa kwenda kuhakikisha na tukiviona kweli hatusubir kitu tunawasiliana nae anakuja kwa usafiri wake yeye mwenyewe anashughulika bila masharti yoyote wala gharama na mzigo kupelekwa benki kuu moja kwa moja na ndipo wateja wanapokuja kununua mzigo kihalali kabisa maelewano ni kati yetu na matajiri benki haihusiki wao ni kukata asilimia yao kumi kwa kile kilichopatikana tu....hakuna mashart wala gharama hiyo ni kazi ya mtaalam...xo hakuna utapeli hapo sitakwambia unipepesa yoyote wala nini
 
Mifano ya hivyo huwa wanatoa matapeli. Hebu sasa wewe toa mifano halisi, mali gani kiasi gani iliibuliwa na nani wapi na ikauzwa lini kwa pesa kiasi gani!!!

ndo maana nikasema uwe na uhakika na usiwe mbabaishaji endapo umeshafika maeneo yenye vitu hivyo au umeviona kwa mtu basi niamini maana nakiri hii biashara ni ngumu kwa vile imejaa utapeli mno...tutaenda eneo husika kuthibitisha sitakwambia unilipie chochote ila nawe usiwe mtu wakunipotezea mda maana sitatoa pesa sijui ya kufanya nini sijui nini hilo halipo,,, twende eneo husika na ikiwa kweli tunawasiliana na mtaalam si tukiwa huko huko bila kuchelewa na kazi itaanza na mengine yatafuata kiukweli tama n dhulma kwenye mambo haya hakuna
 
Wajerumani wamefukia vitu vingi bongo ni wakati ule wa WWI, waliamini watarudi na kuzifukua. Attempt ya WWII ni moja ya jitihada hizo. Lakini wana ramani zote zenye mali. Vijana wengi wa kijerumani wanakuja kwa visingizio mbambali, lakini ukweli wanafuatilia mali hizo na huwa wana ramani na vielelezo vyote. Watafute hao watakufungulia. Makanisa ya Benedictine Fathers mkoani Ruvuma - Peramiho, Kigonsera, LItuhi, Litembo, Liparamba, Tingi, Ngadinda, Nangombo, Lundumato, Mpepo, Tingi, Mahanje, Mbangamao, nk. Kama unaweza kupenyeza maeneo hayo utapiga mali bila shaka. Vita ya kwanza mali nyingi ziko Lindi,Mtwara na Ruvuma hata Tabora unajua wale wajerumani walitokea Msumbiji baada ya kushinda. Pale Tabora Von Wismann aliwacharaza sana askari wa kiingereza 1916 akafanikiwa kukamata wamisionari wengi Waingereza na ali-loot mali zao zote. General Smuts toka South Africa akitokea Nyasaland kupitia Mbamba Bay ndipo wajerumani waliposambaratishwa na wakawa wanaficha mali hadi nyaraka zao wameficha.
 
Mwenye kujua mtu alie na vitu vya kijeruman kama vle pasi, chemli au jiko anitafute tufa ye biashara pia sehem ambapo vitu hivi vipo tafafhali utapeli hauna nafac hapa kaa chonjo nami nichek kwa 0716637717
 
Ukija Kuzipata Mali Za Ujeruman Na Ukazipata Basi Wewe Hatari MALI ZA MJERUMAN ZIMEZINDIKWA KWA DAMU YA WATU.
 
Achane na uzushi huo mikoa ya kanda ya ziwa nimeshuhudi watu wameshimba kwenye milima, na kupasua miamba. Kwa bahati mbaya hata wengine hufia huko kwa kuangukiwa na miamba wengine kukosa hewa. Kuna mtu alinunua mlima akida kuna hz mali wamechima miaka 2 mpk ss wamekua kama mazuzu
 
Back
Top Bottom