No sio makosa kuzaliwa Bongo, hivyo kama umezaliwa Bongo na ukaishi Bongo tuu, maisha yako yote hadi ukafia Bongo, then unakuwa umekufa kiheshima ya ki bongo bongo, lakini kama umezaliwa Bongo, ukaiona Bongo kama ni bonge la nchi, siku ulifika Paris, London, New York, Tokyo, etc ndio utajua kumbe bongo ni mashenzini tuu!
Washua wa ukweli amba wamezaliwa familia za kishua, huwezi kuwasikia!, hawa unaowasikia ni mburumatata tuu, washua wenyewe wa ukwee, wako very cool, sio teu utawasikia wapi, bali hata kuwaona, mandinga yao ni tinted full kipupwe!, apartments zao ni penthouse zenye private lift, utawaonea wapi?.
Miano kwenye haya majina 10 ninayokuwekea hapa
1. Patrick Schegg
2. Aunali Rajabali
3. Sajjad Rajabali
4. Hans Macha
5. Ernest Massawe
6. Murtaza Nasser
7. Sayed Kadri
8. Said Bakhresa
9. Arnold B.S Kilewo
10. Harold Temu
Kuna wowote umeisha wahi kuwasikia popote, au watoto wao?
P