Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 35,823
- 47,142
Mbona hukuingia sasa kwenye 'system' ukala maisha.Mimi ni wale wa longi enzi za Nyerere, tumesoma watoto wa Nyerere, Kawawa, Malecela, Mwinyi, na mawaziri karibu wote, secondari Tambaza darasa moja na mtoto wa Ben, Ilboru high school mtoto wa Warioba, UDSM, LL.B na Riz,
P
Ungekuta kwa Sasa wewe ni Mh waziri,l au katibu mkuu n.k