TANZIA Naibu katibu mkuu wa maimamu Zanzibar shekhe Khamisi Yusuph Khamisi afariki Dunia

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
NAIBU KATIBU MKUU WA JUMAZA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA KUZIKWA KISUTU DAR.

Na Saimu Gwao.

Jumuiya ya Maimamu Zanzibar Jumaza kwa huzuni inatoa Taarifa ya Kifo cha Naibu Katibu wa Jumaza Skh. Khamis Yussuf Khamis kilichotokea Dar. Habari ziwafikie.

1 Mufti Mkuu wa ZNZ
2 Kadhi Mkuu wa ZNZ
3 Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana
4 Mwenyekiti wa Utahiza
5 Maimamu wote Zanzibar
6 Wana Darsa Msikiti Nambar
7 Taasisi zote za Hija ZNZ
Na kila anaehusika na Msiba huo Mazishi yatakua saa kumi leo

USSR

=====

Naibu Katibu wa Jumaza Sheikh Khamis Yussuf Khamis, alikuwa kalazwa Muhimbili.

Maziko yatafanyika leo tarehe 9 Mei 2023 makaburi ya Kisutu saa kumi jioni.

Inalilah wainailah rajiun
IMG-20230509-WA0013.jpg
 
Rest well Naibu katibu mkuu wa Maimamu
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Back
Top Bottom