Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?


Unaweza kupanua njia na kuchanika kukawa pale pale 🥺
 
2025 ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu mzee wangu alipooza stroke nilimaliza sana hela pale muhimbili inshallah now kapona kwa asilimia 100 mwaka huu nitaendelea pale nilipo ishia mwaka 2025nilikuwa mtu wa kulia sana 😭😭 mwaka huu 2026 sitalia tena
 

Pole Vincenzo Jr
Mungu ni mwema baba anaendelea vizuri
 
Hongera Joanah Mungu akutangulie kwenye jambo lako ufanikiwe

Kwa upande wangu 2026 ni kuanza kujitegemea mwenyewe (kujiajiri) tayari mwaka jana mwishoni nlifanikiwa kusajili kampuni na taratibu zingine zote nimeshakamilisha, hapa nimeanza mchakato wa kutafuta ofisi nianze kukimbizana na ndoto zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…