Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,145
- 162,549
- Thread starter
- #101
Amiri jeshi mkuuu wa. Majeshi ya ulinzi na usalama aongezewe ulinzi na nani,?? Mambo mengine bwana!!
Wewe na mzee Malecela ni nani anajua zaidi maswala haya?
Amiri jeshi mkuuu wa. Majeshi ya ulinzi na usalama aongezewe ulinzi na nani,?? Mambo mengine bwana!!
Na ole wao wathubutu kumdhuru raisi wetu Magufuli japo kwa lolote tu,
Nadhani ndio watajua kwamba Watanzania walikua wanampenda na kumhitaji au lah.
Sokoine alipata "ajali" na ushahidi kamuulize Dumisan Dube.Unataka kutwambia kuwa sokoine alifanyiwa kitu mbaya? Una ushahidi wa kujitosheleza?
Malecela anaijua nchi hii asipuuzwe.
Labda anamwombea kazi ya ubaunsa Le Mutuz.....you never know
Le Mutuz anafaha sana sector ya ulinzi.
Le Mutuz hajitambui japo he's almost 60 years old. Yeye aje apewe ubaunsa kwa Magufuli badala ya kumlinda Mh. rais yeye atakuwa bize kujipiga "Selfie Ekoti Te," na wasichana uchwara anaowapigia promo hapa mjini kwa mshahara wa hugs.
huyu mzee mkuda tu,hana lolote ,kama kunatishio lolote asingeropoka ,eti serikali imuongezee ulinzi ,serikali ipi zaidi ya MTUMBUA MAJIPU
Alikuwa mkuu wa mkoa Iringa, lakini si kati ya 1980 na 1984. William J. Malecela anaweza kutusaidia kuweka kumbukumbu sahihi.Mzee Malecela anaijua vizuri nchi na mifumo yake kwa misingi ifuatayo:
1. Aliwahi kuwa makamu wa raisi kwa miaka kadhaa
2. Aliwahi kuwa waziri mkuu kwa miaka kadhaa
3. Aliwahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya ulinzi na usalama
4. Alikuwa mbunge wa bunge la jamhuri kwa miaka mingi
5. Aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa CCM-Chama tawala kwa miaka kadhaa
6. Amewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM-Chama tawala kwa miaka mingi
Halafu tukumbue cha zamani ni dhahabu !
Tazama maelezo ya kina zaidi kwa mujibu wa Wikipedia:
- Tanzanian Permanent Representative to the United Nations - 1964-1968[SUP][2][/SUP]
- Tanzanian Ambassador to Ethiopia and the OAU - 1967
- Minister of Foreign Affairs - 1972-1973
- Communication and Transport - 1973-1974
- Mineral Resources and Agriculture 1975-1975
- Minister in the East African Community - 1975-1976
- Regional Commissioner of Iringa - 1980-1984
- Member of the Group of Eminent Persons of the Commonwealth on South African situation - 1985
- Tanzanian High Commissioner to the United Kingdom - 1989-90
- Prime Minister and First Vice President 1990-1994
- Vice Chairman of the ruling Party, Chama cha Mapinduzi (CCM) - 1995 to 2007
- Member of Parliament for Mtera - 1990 - 2010
Ni mbinu ya kumpigia debe le mutuz ili ajisogeze ikulu kwa kisingizio cha kwenda kumpa Siri.