Malecela: Magufuli hatarini

Malecela: Magufuli hatarini

Hayo uliyotabiri nayafuta kwa JINA LA YESU Kristo hayatatokea kamwe katika nchi hii kwa DAMU ya YESU KRISTO.

Nchi itabaki kuwa ya amani na utulivu na ole wake atakayeleta machafuko hatadumu ingawaje kuna tatizo kubwa sana la kukosekana kwa HAKI na kuminya DEMOKRASIA. Serikali isimamie haki na kuheshimu demokrasia ili amani yetu iwe na maana
Ameen
 
Namuunga mkomno Mzee Malechela kwani Mh. Rais ana maadui japo wachache lakini wenye jeuri ya pesa!!! Aongezewe ulinzi.
Ni kweli JPM ana maadui wengi sana lakini ulinzi mkuu alionao ni ule utokao kwa Mungu, JEHOVA ambaye ataendelea kumlinda. Ulinzi mwingine ni COSMETIC TU. Tumuombee wote.
 
Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.
mkuu ni masikini matajiri wamebanwa pabaya na wanamchukia sana jpm,......
acha atumbue2 hamna namna
 
Mzee bana atakuwa anawaza tofauti tu mkewe kamwagwa bila hata kupokea mshahara mmoja
 
"Kabla hawajanizunguka nitakuwa nimewazunguka..." JPM
 
John Malecela Naye Ni Jipu Kubwa Sana. Alitaka Kuuza Nchi Kwa Wazungu. Bahati Nzuri Wakamdaka. BTW Magufuli Anayo Team Madhubuti Ya Usalama. Na Baadhi Ya Maofisa Wa Usalama Wamekuwa Recruited From Israel. Ngome Yao Ipo Mbweni. Hivyo Hawamwezi,
 
Kagame amemwongezea ulinzi wa kijasusi kwa hiyo wanaofikiria kumpindua wajitafakari.
 
Tunashindwa kujadili Maada iliyo mezani tunamjadili mtu, kweli tulio wengi ni vichwa maji.
Mzee malecela kaomba rais aongezewe ulinzi, vichwa maji wako busy na kebehi. Swala la ulinzi kwa rais inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu.
 
Yahp naona baada ya kumaliza shughuli za uchaguzi ameamua kuifuatilia ingawa alikataa kutambua mzigo ulikuwemo ndani yake lkn meli alikili kuwa anaitambua
time will tell,........huyohuyo tena anakashifa ya kuiba madini yetu tena
hawa jamaa bhna
 
Back
Top Bottom